Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #81
Kua na Iman mkuuNi kama watu wamekata tamaa...imani na hao tunaoenda kuwapigia kura hamna tena.
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kua na Iman mkuuNi kama watu wamekata tamaa...imani na hao tunaoenda kuwapigia kura hamna tena.
ukija kwenye pi diddy party yangu nitaenda kujiandikisha
Kwenye kuimarisha democrasia siamini kwa kuwa upo uoga mwingi wa kupoteza nafasi zinazo aminiwa ni za chama fulani au za watu fulani kwa manufaa ya kundi fulani kwa malengo ya wachache wa taifa hili.Hivyo ipo haja ya mabadiliko makubwa kuondoa dhana hii ,vinginevyo hili ni bomu linalo subiri muda wake.Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa wananchi: Kupitia kura, wananchi wanapata viongozi wanaowawakilisha kwenye maamuzi yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
3. Kuimarisha demokrasia: Kushiriki kwenye uchaguzi ni sehemu ya kutekeleza haki yako ya kikatiba na kuimarisha demokrasia nchini.
Ndugu zangu, wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni huu. Hii ni nafasi yetu ya kuhakikisha tunapata viongozi bora watakaosimamia maendeleo ya jamii zetu. Fanya uamuzi sahihi, jiandikishe leo ili ushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao
Mnasubiri nini???
Wa kupiga kura wapige tu. Mimi sina huo mpango sababu sioni faida yake.Wakichaguliwa viongozi wabaya.....mnakua wakwanza kulalamika ......
kura Yako ndio maendeleo yako
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kina nsangalufu n watu wa tukuyuAaah mdogo wangu Labani og nadhani we ndio umenibia jina, maana mi mkongwe kitambo.
Sahihi lkn .....ukupiga kura ...ndipo utaona faida yakeWa kupiga kura wapige tu. Mimi sina huo mpango sababu sioni faida yake.
Kuwa na Imani mkuuKunavitu vnakatisha tamaa hususan kama kichwan upo vizuri huwezi kupoteza mda kwa kauli za nape na hyo ya bashiru kwenda chin ya mwembe kutaja jinalako
Anaogopa kugeuka jiwe LA chumvii kaona asimame na ukwel japo unaumaaTatizo ni Nape. Hajatengua kauli
Miaka 63 ya Uhuru tunaongelea tiny and petty things. Elimu imeboreshwa kivipi? Adui ujinga ndiye ameesclate.Inawezekana uoni .....letme remind you
Suala la amani
Ujenzi wa miundombinu
Uboreshaji wa elimu
Uboreshaji wa kilimo
All this ni faida za viongozi Bora waliochaguliwa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
we we kama Mimi.Kushinda inategemea anayehesbu n anayetagaza matokeoNisiwe muongo, sikujiandikisha kwa kupenda kwangu. Hata uchaguzi mkuu sitapiga kura mana sioni sababu ya kufanya hivyo.
Kalagha bhao.Hapana mkuu... hakuna kitu kama hicho.... kiongozi anatokana na majority decision
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Namba za Nida au namba za nini?Nimejiandikisha tayari na wakala wa uandikishaji kachukua namba zangu
Alishasema .... ulikuwa ni utaniTatizo ni Nape. Hajatengua kauli
Mkuu...hata Roma haikujengwa Kwa siku Moja..... development is the processMiaka 63 ya Uhuru tunaongelea tiny and petty things. Elimu imeboreshwa kivipi? Adui ujinga ndiye ameesclate.