AmKATRINA
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 882
- 2,044
- Thread starter
- #101
Hapo kitakachomuokoa labda simu imuoneshe alikuwa wapi wakati huo.Tukio lilitokea lini? Muda gani? Kukuta tiketi yake sio uthibitisho kuwa alikuwa eneo la tukio. Bado polisi wanatakiwa kuthibitisha kuwa alikuwepo eneo la tukio. Tiketi inawezekana iliachwa hapo n mhalifu makusudi ili kuwapoteza polisi.
Mtuhumiwa awaambie alikuwa wapi siku na muda ambao tukio linatokea. Na anaweza kutafuta ALIBI...wapo watu alikuwa nao,alikuwa kazini(miamala aliofanya itaonekana) na simu yake inaweza kutumika kuonesha alikuwa wapi siku hio.
Yeye ni mtuhumiwa tu na polisi inabidi wathibitishe,watansumbua tu ila kama hakupiga tukio itajulikana.
Manaa tukio limetokea saa 9 alfajiri, keshatoka kwenye kazi zake za uwakala. Na anasema baada ya kufunga alijifungia ndani mpaka kesho yake alipofungua tena kibanda chake.
Mimi na wewe hatujui, tuwaachie polisi