Wana JF wa Dar es Salaa tujumuike kwa hili!!

Naikumbuka sana Madame B. uwezo, nia na sababu ninayo ya kuhamishapo milima....huku nilipo, nimefundishwa pia kula na kufuta mdomo, jirani asijue kuwa leo tumekula sijui wali, kande au pilau....:smile:

Asante sana.
Aminia.
 
Last edited by a moderator:

Shkamoooo Kaka Mkubwa :smile:
 
Hahahaaa...tanga si ndo nyumbani kwa malovee mpwa? halafu hawana mipododo??
BTW: endelea na ban yako kwanza

Asee hivi ndo mazima hatoki kwen hiyo BAN? LOL
 
Naikumbuka sana Madame B. uwezo, nia na sababu ninayo ya kuhamishapo milima....huku nilipo, nimefundishwa pia kula na kufuta mdomo, jirani asijue kuwa leo tumekula sijui wali, kande au pilau....:smile:
kaka kuna michakula ina shomboooo, hata unawe na limao haikati shomboye. Jirani mwenye pua ya kidhungu atakustukia tu, am just saying.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…