Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.

Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea.

Huko Tarime hatuna nguvu tena.

Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii

Hii ni sababu kuu kuwa hatuna hoja ya kuikosoa CCM wakati Mbowe analamba asali.
 
Kazi kweli kweli!
Mimi mwenyewe niliwarudishia Kadi baada ya kugundua maridhiano yaliyokua yanatafutwa kumbe ni ya mbowe na familia yake lisu na familia ya na lema na familia yake na tangu wameshibishwa minoti hakuna Tena kelele yaani utafikiri Tanzania Kwa Sasa hakuna tatizo lolote[emoji3]
 
Utakuta waliochangia/comment hapa ni wasomi!! Wengine masters au PhD au akili ya mkumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kazi yenu machawa ni kuilaumu Cdm, Mbowe, Lissu, siijui Lema na nani vile !! Wewe na huyo Kamanda Asiyechoka
mmeifanyia nini nchi hii , hata muwe na ujasiri wa kuhoji ya Cdm ?!
 
Sioni faida ya vyama vingi Tanzania... kama Chadema ilimuruhusu lowassa agombee urais kupitia chadema baada ya kukataliwa CCM . Utopolo mtupu
 
Kazi yenu machawa ni kuilaumu Cdm, Mbowe, Lissu, siijui Lema na nani vile !! Wewe na huyo Kamanda Asiyechoka
mmeifanyia nini nchi hii , hata muwe na ujasiri wa kuhoji ya Cdm ?!
Acha ujinga wewe sio Kila mtu ni chawa humu ukweli lazma usemwe nikuulize swali Yale maridhiano Mbowe alikua anapigia kelele kila siku yamefikia wapi?

Mbona hatuoni Tena zile kelele? Au maridhiano yalishapatikana? Na hayo maridhiano yalikua ya nini? Jifunze kuhoji usiwe msukule wa wanasiasa
 
Utakuta waliochangia/comment hapa ni wasomi!! Wengine masters au PhD au akili ya mkumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dirisha dogo la Usajili mmesajili Balozi Mstaafu Dr Wilbroad Peter Slaa!

Hongereni sana
 
Mbowe na genge lake wanaharibu upinzani wa Tanzania. Enzi za kina Slaa angalau walikuwa wakijenga hoja za kutetemesha nchi ila siku hizi imekuwa tofauti. CCM inahitaji chama cha upinzani kilicho imara na sio hiki chama cha Mbowe.
 
Back
Top Bottom