Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Mbowe na genge lake wanaharibu upinzani wa Tanzania. Enzi za kina Slaa angalau walikuwa wakijenga hoja za kutetemesha nchi ila siku hizi imekuwa tofauti. CCM inahitaji chama cha upinzani kilicho imara na sio hiki chama cha Mbowe.

Mbona Slaa karudi CHADEMA. Una jingine.
 
CCM ukikosa kuu defeat first round juwa kuwa ndo unaenda kufa kisiasa kama unabisha muulizeni NSSR MAGEUZI na CUF,. Awamu hii waliotakiwa kuchipua ni ACT WAZALENDO ila nao walivyo wehu wameanza ma Sera ya kutaka kuvunja muungano

Mbona CHADEMA wameweza kumaintain, Kama sio ujinga wa 2020.
 
Angalia mapokezi kule mwanza . Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.

Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea...
Kamanda kweli umechoka, una macho lakini huoni, una masikio lakini husikii, umebakia kuwa ni "empty case" tu, nafikiri hata katika chama chako cha CCM huna faida yoyote ile. Kilichobakia ni wewe ku "come out" ili jamii ikuelewe ni madau wa wale wa jamii tatanishi.
 
Chadema ni TLP iliyochangamka na Mwenyekiti wake ndie Mrema mpya.

Wachaga kwenye siasa mwisho wao unafanana sana.
 
Chadema haijawahi kuwa na mwanachama ndezi kama wewe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mrema ndio kaajiri mjinga kama wewe? Mbowe alirudisha lini kadi ya CCM? Au lisu kadi yake karudisha lini? Wanatofauti gani na slaa ambae nae alihudumu chadema huku akiwa mwanachama hai wa CCM? Haya mambo yamekizidi kimo wewe endelea kuimbishwa mabambio
 
Wewe umefanya nini kuzuia hayo? Mtu timamu akishajiita tu chawa ndo akili yake huwa kama yako
Njoo nikupe buku saba nikuzibue mtaro maana hizo ndiyo akili za chawa wa mama
 
Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.

Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea.

Huko Tarime hatuna nguvu tena.

Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii

Hii ni sababu kuu kuwa hatuna hoja ya kuikosoa CCM wakati Mbowe analamba asali.
Wewe kibaka wa CCM mbona unawashwa sana na Chadema?
 
Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.

Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea.

Huko Tarime hatuna nguvu tena.

Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii

Hii ni sababu kuu kuwa hatuna hoja ya kuikosoa CCM wakati Mbowe analamba asali.
Weka namba yako hapo chapu upate teuzi Kuna wilaya ipo wazi
 
Back
Top Bottom