Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #21
Acha kutukebehiDirisha dogo la Usajili mmesajili Balozi Mstaafu Dr Wilbroad Peter Slaa!
Hongereni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kutukebehiDirisha dogo la Usajili mmesajili Balozi Mstaafu Dr Wilbroad Peter Slaa!
Hongereni sana
Hakuna mwanachadema asiyekuwa na kadi halali yenye jina lake na namba ya uanachama, weka yako hapa ili tuwe pamoja.Angalia mapokezi kule mwanza . Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa...
Chadema haijawahi kuwa na mwanachama ndezi kama wewe.Mimi mwenyewe niliwarudishia Kadi baada ya kugundua maridhiano yaliyokua yanatafutwa kumbe ni ya mbowe na familia yake lisu na familia ya na lema na familia yake na tangu wameshibishwa minoti hakuna Tena kelele yaani utafikiri Tanzania Kwa Sasa hakuna tatizo lolote[emoji3]
Sukuma Gang weweAcha ujinga wewe sio Kila mtu ni chawa humu ukweli lazma usemwe nikuulize swali Yale maridhiano mbowe alikua anapigia kelele Kila siku yamefikia wapi? Mbona hatuoni Tena zile kelele? Au maridhiano yalishapatikana? Na hayo maridhiano yalikua ya nini? Jifunze kuhoji usiwe msukule wa wanasiasa
Chama kigumu sana hikiKazi kweli kweli!
Publemu ilianzia Hapa...Sioni faida ya vyama vingi Tanzania... kama Chadema ilimuruhusu lowassa agombee urais kupitia chadema baada ya kukataliwa CCM . Utopolo mtupu
Chawa kama chawa hongera yako ukisusa sisi twala,Chadema ni chaguo la Mungu.Angalia mapokezi kule mwanza . Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.
Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea...
Mikutano ya siasa tena ikilindwa na Polisi ambao hapo nyuma walikuwa maadui ni ushahidi kuwa maridhiano yamefanya kazi 98%Acha ujinga wewe sio Kila mtu ni chawa humu ukweli lazma usemwe nikuulize swali Yale maridhiano mbowe alikua anapigia kelele Kila siku yamefikia wapi? Mbona hatuoni Tena zile kelele? Au maridhiano yalishapatikana? Na hayo maridhiano yalikua ya nini? Jifunze kuhoji usiwe msukule wa wanasiasa
Duwanzi kisa nasema kweli?
Ngoja walamba asali wa chadema waje kukuchambaAngalia mapokezi kule mwanza . Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.
Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea...
Mimi mwenyewe niliwarudishia Kadi baada ya kugundua maridhiano yaliyokua yanatafutwa kumbe ni ya mbowe na familia yake lisu na familia ya na lema na familia yake na tangu wameshibishwa minoti hakuna Tena kelele yaani utafikiri Tanzania Kwa Sasa hakuna tatizo lolote[emoji3]
Mbona hatupendi ukweli?
Punguzeni unafuki, alipogombea Slaa mlimpa kura? Alipogombea Mbowe mlimpa Kura?. Mmekalia fitina tu. Huyo Lowassa yupo CCM na mtoto wake ni mbunge nendeni mkamkamate.Sioni faida ya vyama vingi Tanzania... kama Chadema ilimuruhusu lowassa agombee urais kupitia chadema baada ya kukataliwa CCM . Utopolo mtupu
Mwambie kabisa mama Samia mwenyewe ameishuhudia nyomi njiani alielekea Arusha😄😄Rudisha hela ya CCM boss, uongo uliokuwa unawalisha kuhusu CDM wamejua. Utaishia kupigwa jicho maana umewadanganya sana.
Umeshakuwa na negative perception, huwezi kuona Jambo lolote postive.Acha ujinga wewe sio Kila mtu ni chawa humu ukweli lazma usemwe nikuulize swali Yale maridhiano mbowe alikua anapigia kelele Kila siku yamefikia wapi? Mbona hatuoni Tena zile kelele? Au maridhiano yalishapatikana? Na hayo maridhiano yalikua ya nini? Jifunze kuhoji usiwe msukule wa wanasiasa