Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Angalia mapokezi kule Mwanza. Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.

Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea.

Huko Tarime hatuna nguvu tena.

Huko Arusha mapokezi ya Lema ni kama Jogging ya machaliii

Hii ni sababu kuu kuwa hatuna hoja ya kuikosoa CCM wakati Mbowe analamba asali.
Kada la CCM lenye jina la Chadema! Shame
 
Miaka 7 ya kutokufanya siasa imeathili sana ungelitambua ilo kwanza kbla ya kuanza kuraumu chama chako
 
Back
Top Bottom