Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Wewe mwanaCcM kazi gani?Kazi kweli kweli!
Mimi mwenyewe niliwarudishia Kadi baada ya kugundua maridhiano yaliyokua yanatafutwa kumbe ni ya mbowe na familia yake lisu na familia ya na lema na familia yake na tangu wameshibishwa minoti hakuna Tena kelele yaani utafikiri Tanzania Kwa Sasa hakuna tatizo lolote[emoji3]Kazi kweli kweli!
Upo serious?Wewe kamanda usiyechoka, utakuja kupata BP, Kwa kuiona Chadema, namna inavyochanganya katika kuwakomboa watanzania toka kwenye Hawa watawala wa CCM
We mwanaCcM kazi gani?
Angalia mapokezi kule mwanza . Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanz tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa...
Mbona hatupendi ukweli?Wewe Kamanda Uliyechoka nenda kafanye Tathmini kwenu Lumumba.
Mbona hatupendi ukweli?
Unatafuta nini humu badala ya kusikiliza taarabu na kucheza karata na mkeo?Utakuta waliochangia/comment hapa ni wasomi!! Wengine masters au PhD au akili ya mkumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kazi yenu machawa ni kuilaumu Cdm, Mbowe, Lissu, siijui Lema na nani vile !! Wewe na huyo Kamanda AsiyechokaMimi mwenyewe niliwarudishia Kadi baada ya kugundua maridhiano yaliyokua yanatafutwa kumbe ni ya mbowe na familia yake lisu na familia ya na lema na familia yake na tangu wameshibishwa minoti hakuna Tena kelele yaani utafikiri Tanzania Kwa Sasa hakuna tatizo lolote[emoji3]
Acha ujinga wewe sio Kila mtu ni chawa humu ukweli lazma usemwe nikuulize swali Yale maridhiano Mbowe alikua anapigia kelele kila siku yamefikia wapi?Kazi yenu machawa ni kuilaumu Cdm, Mbowe, Lissu, siijui Lema na nani vile !! Wewe na huyo Kamanda Asiyechoka
mmeifanyia nini nchi hii , hata muwe na ujasiri wa kuhoji ya Cdm ?!
Dirisha dogo la Usajili mmesajili Balozi Mstaafu Dr Wilbroad Peter Slaa!Utakuta waliochangia/comment hapa ni wasomi!! Wengine masters au PhD au akili ya mkumbo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]