Wanachadema tufanye tathimini ya kina. Tumedorora kisiasa, wananchi hawana imani na sisi tena

Chadema haijawahi kuwa na mwanachama ndezi kama wewe.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Sukuma Gang wewe

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mikutano ya siasa tena ikilindwa na Polisi ambao hapo nyuma walikuwa maadui ni ushahidi kuwa maridhiano yamefanya kazi 98%
 
Angalia mapokezi kule mwanza . Mwanza ilikuwa ngome yetu. Mwanza tulikubalika hadi kwatoto leo hii tumepuuzwa.

Kanda ya za juu na Nyasa ndio kabisa. Tumekwama japokuwa tunachechemea...
Ngoja walamba asali wa chadema waje kukuchamba
 
Chawa kazini. Hao waliokutuma rudisha tu pesa zao maana ulishapuuzwa
 
CHADEMA pekee ndio chama kinachofanya mikutano pamoja na ACT, wewe umebakia kulaumu tu Kama kazi yako.

CCM walijaribu kufanya mikutano ya akina chongoro wakaishia mitini, CUF walihairisha kabisa. Halafu Arusha wamaeipuuza CHADEMA kwa lipi zuri CCM walilofanya?
 

Wewe ni CCM lini ulipata kadi ya CHADEMA Kama sio utapeli. Sema roho inakuuma kuona CHADEMA inarudi kwenye form.
 
Sioni faida ya vyama vingi Tanzania... kama Chadema ilimuruhusu lowassa agombee urais kupitia chadema baada ya kukataliwa CCM . Utopolo mtupu
Punguzeni unafuki, alipogombea Slaa mlimpa kura? Alipogombea Mbowe mlimpa Kura?. Mmekalia fitina tu. Huyo Lowassa yupo CCM na mtoto wake ni mbunge nendeni mkamkamate.
 
Umeshakuwa na negative perception, huwezi kuona Jambo lolote postive.
 
CCM ukikosa kuu defeat first round juwa kuwa ndo unaenda kufa kisiasa kama unabisha muulizeni NSSR MAGEUZI na CUF,. Awamu hii waliotakiwa kuchipua ni ACT WAZALENDO ila nao walivyo wehu wameanza ma Sera ya kutaka kuvunja muungano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…