WanaCHADEMA wengi hatupendi namna Mbowe alivyolamba asali ila hatuna namna maana hatuna maamuzi

Mbona unadhalilisha kwa huu ujinga unaouonesha? Tangu lini wewe umekuwa CHADEMA?

Wewe inaonekana ni tapeli mjinga wa kudumu (mjinga wa kudumu = mpumbavu, juha). Wenye akili timamu hukosoa au kutetea hoja zao kwa kuweka wazi misimamo na uwanachama wao wa vyama vya siasa au mahaba yao au mapenzi yao kwa vyama vyao. Mtu bwege, kwa sababu anaona hana uwezo wa kutetea hoja yake huku akisimama kwenye mlengo wake wa kisiasa ndiyo huamua kuwa juha, kama ufanyavyo.
 
Hata Chacha Wangwe aliejaribu kumpinga mwenyekiti wake leo hatunae tena.
Ni nani anaetaka kufa kabla ya wakati wake mkuu?
 
Wewe ni Mpuuzi tu
 
Jipige na jiambie kuwa ww ni kubwa pumbavu
 
Nakupuuza
Kwahiyo mkuu hapa Tanzania tumtegemee Mh. Mbowe tu ndo atupiganie? Kule Bungeni waliopo wabunge wengi vile hawawezi kufanya kazi ya kuwatetea wananchi?

Au unadhani Mh. Mbowe yeye hachoki kuwatetea wananchi ambao ni sawa na maiti. Wewe Kama mwananchi unatakaiwa utambue haki zako na wajibu wa serikali yako kwanza kabla ya kumtegemea mtu yeyeto kuja kusimama kwa niaba yako.
 
Usimuite maiti.Huwa hakawii kuzira na kupuuza.Shem wangu namjua tutabia twake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…