Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Mbona unadhalilisha kwa huu ujinga unaouonesha? Tangu lini wewe umekuwa CHADEMA?Wengi tunataka kuwa na msimamo thabiti na madhubuti kupinga maovu ufifisadi na kutetea wananchi wawe na maisha bora.
Leo hii hali ni ngumu sana maana raia wanalia juu ya ugumu wa maisha. Raia wanalia juu ya kupanda bei nafaka na vyakula vikuu vinavyohitajika hapa nchini.
Mbowe amecollude na CCM na sasa amethibitisha kuwa yeye ni CCM B na hajali lakini sisi wanachama wa Chadema hatupendi alichofanya ila hatuwezi kupinga ng'o.
Wewe inaonekana ni tapeli mjinga wa kudumu (mjinga wa kudumu = mpumbavu, juha). Wenye akili timamu hukosoa au kutetea hoja zao kwa kuweka wazi misimamo na uwanachama wao wa vyama vya siasa au mahaba yao au mapenzi yao kwa vyama vyao. Mtu bwege, kwa sababu anaona hana uwezo wa kutetea hoja yake huku akisimama kwenye mlengo wake wa kisiasa ndiyo huamua kuwa juha, kama ufanyavyo.