hayo mawuwa na bendela huoni kama tumo kabulini ,yaani ni msiba tu ,ccm nuksi,iangalie io picha kisha vuta utaona kabisa nchi inazikwa aka inaibwa nani mwizi kama sio maCCMEnzi ya Nyerere ilikuwa ya ujamaa. Tusingesimama na Russia.
Usichanganye enzi ya ujamaa na enzi zenu matajiri mkikutana:
View attachment 2137089
Hiiiiii bagosha!
Tanzania ni Nchi Huru yenye amani na utulivu. Kukaa kimya ni Busara.
Kama mtu haujui watu wazima wanagombania nini huna sababu ya kumuona yeyote mbaya
Nawakilisha Tanzania: msimamo wetu tunasimama na Russia
Ningekuwa na hela ningekuoa malaika
Laana zako zimekua na manufaa gani hadi sasaMiye niko upande wa haki siku zote dadaangu.
Ukilianzisha hata wewe au Kingai kibwegebwege lazima kukulaani tu.
Ninamlaani Mrusi kama nilivyomlaani Mmarekani Iraq, Afghanistan au Libya.
View attachment 2137069
Chuki binafsi hizo hata ukiishi nazo si sawa tu?
Hizi si ndiyo mnazobatiza nazo wengine magaidi?
Hizo matajiri ishini nazo tu.
Sisi hatufungamani na upande wowote...
Ukraine kajitakia acha apigwe...Kumepigwa kura UN kuhusiana na nani ni nani kwenye uvamizi wa Ukraine.
Upande wa Russia kuna North Korea, Syria, Belarus na Eritrea.
View attachment 2137041
Kwa mujibu wa Tutu na bwana Martin Luther yumkini na sisi tumewakilisha:
View attachment 2137034
View attachment 2137035
Source: NPR Cookie Consent and Choices
Uhuru wa maoni kadri ya uelewa wa mtu ni kitu cha kuheshimika sana
Usitake nifanane na wewe kwenye misimamo sababu hata sura hatufanani😂😂
Una undugu na Pinda?Ukraine kajitakia acha apigwe...
Ni kweli kuna mauaji ya binadamu wasio na hatia, lakini kura haijasema kuhusu mauaji, imesema kuhusu uvamizi,Kuna kufa wanawake na watoto wasio na hatia. Hatujui wanagombania nini?
No wonder:
View attachment 2137131
Hatuna mbele wala nyuma.
Hii ndiyo Tanzania ya leo, ikiheshimiwa enzi zake. Ikiongoza kwenye ukombozi na vita vyake dhidi ya dhuluma duniani.
Basi ngoja tukenue kwanza:Ni kweli kuna mauaji ya binadamu wasio na hatia, lakini kura haijasema kuhusu mauaji, imesema kuhusu uvamizi,
Ingesem kuhusu mauaji hata sisi tungepinga vikali mauaji yanayoendelea. Lakini suala la uvamizi sisi hatupaswi kuingilia.
Hivi unajua ucholaani ww?Miye niko upande wa haki siku zote dadaangu.
Ukilianzisha hata wewe au Kingai kibwegebwege lazima kukulaani tu.
Ninamlaani Mrusi kama nilivyomlaani Mmarekani Iraq, Afghanistan au Libya.
View attachment 2137069
Is Desmond Tutu's quotes a country's policy?Kutofungamana na upande wowote hakuna maana ya kuwa upande mmoja na fedhuli:
View attachment 2137101
Hayo si maneno yangu bi dada.
Hilo ni swali au ni jibu? Si ukajifunze japo kuuliza maswali kwanza ewe uliye kenua zaidi pale?Hivi unajua ucholaani ww?
Where do you read that Mr. Policeman?Is Desmond Tutu's quotes a country's policy?
... bora hata tumekuwa absent! Halafu kuna yale marusi ya Kwa Mtogole yamejazana humu jf yanashabikia umwagaji damu unaofanywa na facist Putin bila sababu yoyote ya msingi! Shame to you ALL!