Wanadiplomasia Wabobezi wameanza kupotea na ni adimu sana Tanzania miaka hii ya karibuni

Kwenye hii orodha yako mkuu Hayati Balozi Mahiga na Dk. Salim Ahmed Salim ndio wanadiplomasia wa kweli wa viwango vya juu kabisa kutoka Tanzania lkn Mkuu kwanini umemsahau Mzee Mkapa?.
 
Siku hizi ukiwa Karibu na Watawala tu unapewa Ubalozi. Kikubwa usiwe kinyume nao..
Generalization...

Si kweli....

Mentality ya ajabu kabisa....nafasi zote za uteuzi ni kwa ajili ya kutumikia mawazo ya watawala....sasa unaanzaje kuwa nao kinyume ilihali wao* wana taarifa nyingi zaidi yako?!!!

Kwenda kinyume nao ni aina fulani ya UCHIZI.....[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Rais asiyefanya kazi na wanaompinga......

Mabunge yote duniani huendeshwa kwa ADA NA KAWAIDA ya siasa za nchi yao.....

Kutaka kuyafananisha mabunge ya nchi zote nao huo ni UCHIZI.....

Siasa za Tanzania zinaendana na msingi wa taifa hili....unatakaje tuendeshe siasa kwa msingi wa KENYA ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sa hivi Tanzania kuna kizazi cha Hovyo karibu kila idara.

Wengi wa watu ni Machawa, wanachoweza ni kusifu na kuabudu.

Sasa kwa kizazi hiki sidhani kama kuna mwana diplomasia Nguli, Anaweza kutokea.

Type ya watu kama
Lucas mwashambwa,ndio wame jazana kila sehemu kazi yao kuu, Ni kusifia hata makosa ya viongozi.



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kumtoa mkoloni ni kwepesi kuliko kuleta maendeleo mkoloni akiondoka
Wapigania uhuru walifanya makosa makubwa sana kupigania uhuru wa Tanzania na Afrika kwa ujumla.

Mkoloni ange endelea kutawala sa hivi tungekuwa First world countries.

Yani, Kungekuwa hakuna tofauti ya Berlin Germany na Dar es salaam Tanzania.



Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ankali P nitofautiane nawe kidogo....

Umezungumzia teuzi za kupunguza kiwingu*....

Niliwahi kumsikia mh.William Lukuvi akiizungumzia SIRI yake ya kiuongozi kuwa amedumu* kwa sababu ya HULKA yake ya kukaa kimya...*

Siuchukulii kuwa ni udhaifu bali ndio UHALISIA.....

Mathalani mtu amepata kuwa katika nafasi kubwa ya kuijua nchi vyema* inakuwaje "akibaki ndani" anashindwa "kutotengeneza hicho kiwingu"?!!!

Hapa nadhani ni mapungufu ya hao watu(tamaa zaidi)......

Hakuna asiyejua unapokuwa unalitumikia taifa basi unamtumikia "Rais" na "political wishes and motives zake"....

Kuna haja gani kutumia nguvu ya kuwatunuku "ubalozi" huko nje eti kwa kigezo hicho nilichokidadavua hapo juu?!!!

Nijuacho hao watu waliopata kutuhudumia raia katika nafasi nyeti huwa wana uwezo mkubwa sana katika mawanda ya KIDIPLOMASIA kwani muda wote wa utumishi wao wamekupa wakipata "briefings" za kiendeleacho huko ughaibuni....hawa ni bora watusaidie huko.....

Ubarikiwe ankali P ,amen[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hivyo mambo yamekuwa juu chini, aka. yamekorogana........kwa kimombo tunasema 'amang'ana gasarikire' au kwa kilugha chetu kule nyamongo tunasema 'Things fall apart'
 
Mawazo ya kitumwa kabisa....

Inaonekana hujui ni nini maana ya UHURU.....

Tuko huru na tunafanya mambo yetu....

Tatizo tunapenda kuyaangalia maisha ya ukwasi wa wanasiasa na viongozi.....duniani kote hao ndio wanaoishi katika "pepo ya dunia"....si Afrika pekee.....

Halafu ni ujinga mkubwa kulinganisha maisha ya watu wa tamaduni tofauti kwa kudhani KINACHOTUTOFAUTISHA ni siasa pekee..... maendeleo yao unayoyalilia ni zaidi ya "siasa" unazofikiria.......

Mimi siitaji kuwa kama mjerumani na kuishi kama wao kwa kuwa wao na mimi ni watu tofauti....tofauti kabisa.....

Hivi shule ulikwenda kusomea "kukariri"?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kila idara?!!

Si kweli....

Umeamua kufanya "generalization"...

Yaani uwe CHAWA tu ndio upewe nafasi ya kupasua "mioyo" pale JKCI ya akina Prof.Janabi na Dr.Mayalla ?!![emoji15]

Yaani uwe CHAWA tu upewe nafasi za "think tanking" wa UCHUMI pale BOT na Ikulu ?!!! [emoji15][emoji15]

Mentality gani hii ?!! [emoji15]

Chawa uwanda wao ni katika nafasi za KISIASA.....

UCHAWA haswaa ni VAZI la kisiasa....na wala hawakosei kuwa na "Machawa" kwani siasa za KUONEKANA* ni maneno matamu ya USHAWISHI....

Siasa zisionekana nasi raia hazie deshwi na hao MACHAWA [emoji1787][emoji1787]

#Karibu Komoni Hapa Kwa baba Musa Majohe Rada[emoji120][emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Ukiona hivyo mambo yamekuwa juu chini, aka. yamekorogana........kwa kimombo tunasema 'amang'ana gasarikire' au kwa kilugha chetu kule nyamongo tunasema 'Things fall apart'
Wala hayajakorogana....

Sababu za kidiplomasia zinabadilika kila uchao.....

Tuliwekeza kupigania UHURU wa afrika.....leo hatuko huko....

Tulisigana na ISRAEL kwa sababu ya kuwaunga mkono makaburu wa "bondeni" na ya kule PALESTINA leo hatuko huko....tuna uhusiano nao mzuri wa kidiplomasia.....

Ya SAHRAWI?!![emoji15]

Tumewasaidia Morocco kutofutiwa uanachama nao "wametutolea mkono wa Takrima" [emoji1787][emoji1787]

Tanzania bado ni taifa bora kidiplomasia [emoji120][emoji120]

#Siempre JMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hii orodha yako mkuu Hayati Balozi Mahiga na Dk. Salim Ahmed Salim ndio wanadiplomasia wa kweli wa viwango vya juu kabisa kutoka Tanzania lkn Mkuu kwanini umemsahau Mzee Mkapa?.
Hakika...

Hayati Mzee Mkapa anastahili....kile kilikuwa ni CHUMA CHA PUA [emoji120][emoji120]

Aaaagh "wazuri hawadumu"[emoji45][emoji45]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kila idara?!!
"Karibu kila idara" sio idara zote.
Si kweli....

Umeamua kufanya "generalization"...
Sijafanya generalization, nimetumia neno "Karibu" kila idara si idara zote.
 
Wewe ni mjinga sana.

Bila shaka ni chawa.
 
Kwenye hii orodha yako mkuu Hayati Balozi Mahiga na Dk. Salim Ahmed Salim ndio wanadiplomasia wa kweli wa viwango vya juu kabisa kutoka Tanzania lkn Mkuu kwanini umemsahau Mzee Mkapa?.
Ni kweli Mzee Mkapa alikuwa Foreign Service lakini impact yake haikuwa kubwa sana kama wengine.
Sijui naweza kuwa nimekosea.
 
Kuna wakati Tanzania tulikuwa na hazina kubwa ya wanadiplomasia waliokubuhu kutetea maslahi ya nchi na Afrika kwa ujumla.

Kizazi hicho sasa kimeanza kutoweka kwa kasi.

Hawa ndiyo wenye uzalendo wa kweli ila waliobakia pale sijaona kama wanaguswa na Tanzania na hasa huyo mwenye bilauri mkononi hovyo kabisa
 

..Rais wa Tz ndiye mwanadiplomasia namba wani.

..Sasa Rais akipwaya na akiwa hana maono kama mwanadiplomasia basi hawa wa chini yake mwanapwaya.

..Hivi unafikiri Salim Salim angefanya kazi ktk awamu ya Magufuli angejulikana kwa kiwango alichofikia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…