Wanafamilia 5 waliokufa uwanja wa Uhuru kuzikwa leo. Mchungaji Mastah aongoza ibada

Huyu Mama alikua mjinga sana amesababisha watoto wafe kifo kibaya mno, na inaonekana walidondoka wote kwa pamoja na watu wakawalalia.
kwanini familia moja na kwa pamoja???
 
Nilikwepo msibani.inauma.ni familia inayojiweza kiasi.baba msomi na huyu mama aliyekufa ni msomi ana masters ya uhasibu toka udsm na ana CPA kazaliwa 1987 so mswahili kama mnavyodhani ni roho ya mauti ilimvuta
 
Nilikwepo msibani.inauma.ni familia inayojiweza kiasi.baba msomi na huyu mama aliyekufa ni msomi ana masters ya uhasibu toka udsm na ana CPA kazaliwa 1987 so mswahili kama mnavyodhani ni roho ya mauti ilimvuta

Inasikitisha sana kwa binti wa 1987 kuondoka mapema namna hiyo na watoto wake.
 
Kuna anayejua kilichotokea. Ni kwamba hilo eneo walilokuwepo lilikuwa na nini hasa?
 
Nadhani kukosekana kwa tamko au hata salamu za rambirambi kwenye misiba iliyotokana na kumuaga Hayati JPM kunatia doa shughuli hii ya kitaifa.

Natamani viongozi wetu wawe na macho ya rohoni yakuona wapo watu wamepoteza wapendwa wao kuliko kuona tumepoteza mpendwa mmoja tu.

Wawakumbuke watoto, wamama na wazee waliotwaliwa uwanja wa uhuru na wawe sehemu ya hotuba zao.
 
Mwili mfu unapewa ulinz mkali kuliko walio hai
 
Mihemko dada ni tatizo la nchi hii kuanzia viongozi mpaka raia wao.

Wapumzike kwa amani.
 
Ni vyema kupima akili za wenza wetu kabla ya kuoana
 
Yule mwanamke alikuwa pumbavu sana
 
WTF!!Kwa nini wanazungumziwa tu hawa watano wakati walikufa watu zaidi ya mia moja?!Ni ujanja ujanja wa kuficha uzembe uliofanywa na serekali?
 
Sio ujinga ndugu,hicho kifo sio cha kawaida kuna kitu kilikuwa kinamsukuma huyo mama aende huko tena na familia yote can u imagine?....muulize ndugu Mshana Jr sema hawez kuelezea hili anaogopa wanakijani watamvamiaa[emoji23]
roho ya mauti ilimzidi nguvu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…