kwanini familia moja na kwa pamoja???Huyu Mama alikua mjinga sana amesababisha watoto wafe kifo kibaya mno, na inaonekana walidondoka wote kwa pamoja na watu wakawalalia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwanini familia moja na kwa pamoja???Huyu Mama alikua mjinga sana amesababisha watoto wafe kifo kibaya mno, na inaonekana walidondoka wote kwa pamoja na watu wakawalalia.
Rasmi waliotangazwa na nani?Rasmi waliotangazwa ni 45 ukijumlisha na huyo hg ni 46 lakini kuna watu wanasema ni zaidi
Na Hi Now aka Mambo Sasa.Rasmi waliotangazwa na nani?
Nilikwepo msibani.inauma.ni familia inayojiweza kiasi.baba msomi na huyu mama aliyekufa ni msomi ana masters ya uhasibu toka udsm na ana CPA kazaliwa 1987 so mswahili kama mnavyodhani ni roho ya mauti ilimvuta
Mihemko dada ni tatizo la nchi hii kuanzia viongozi mpaka raia wao.Pamoja na lawama kwa serikali, nadhani watanzania tuna ushamba au ulimbukeni juu ya mambo, dunia kwa sasa ni kama kijiji, kuna matukio tunaweza kuyaangalia tukiwa majumba i mwetu lakini myu mwenye akili timamu anabeba watoto na kuwapeleka kwenye mazingira hatarishi kama yale
Yule mwanamke alikuwa pumbavu sanaWanafamilia 5 waliokufa wakati wa kumuaga hayati Magufuli uwanja wa uhuru wanazikwa leo nyumbani kwao Kimara.
Ibada ya kuwaombea marehemu inafanyika katika Kanisa la KKKT Kimara na inaongozwa na mchungaji kiongozi wa Kanisa hilo.
Mkuu wa wilaya ya Ubungo na mbunge wa Kibamba wamehudhuria ibada ya mazishi.
Mbunge wa Kibamba mh Mtemvu amesema leo alitakiwa kuwa Chato kwenye mazishi ya hayati Magufuli lakini ameahirisha ili aweze kushiriki msiba wa wapiga kura wake.
Imeelezwa Kanisani hapo hata yule house girl " dada" ambaye naye alikuwa hajulikani alipo naye amepatikana akiwa amekufa.
Hivyo jumla ya wanafamilia waliofariki katika tukio hilo ni 6.
RIP Magufuli
KICHWA CHA HABARI: Wanafamilia 5Bwashee umesoma hadi mwisho?
House girl nadhani amepatikana Jana , na taratibu za 5 zilikuwa zimekamilika na nafikiri ni mpk wawasiliane na familia yake kwanza.SIO WATANO NI 6, mbona house girl hamumtaji?
roho ya mauti ilimzidi nguvu!Sio ujinga ndugu,hicho kifo sio cha kawaida kuna kitu kilikuwa kinamsukuma huyo mama aende huko tena na familia yote can u imagine?....muulize ndugu Mshana Jr sema hawez kuelezea hili anaogopa wanakijani watamvamiaa[emoji23]
acha jazbaYule mwanamke alikuwa pumbavu sana
Comrade baada ya leo kuzika unarudi Makete au unaenda kujiegesha Dar nyumbani kwa mzee mgaya?Kwani Tundu Lissu hajataja idadi?