That's very rude of you. You have sunk to a new low.Kama wazazi wao wamekataa kuwasomesha chuo wasomeshe wewe huko chuo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That's very rude of you. You have sunk to a new low.Kama wazazi wao wamekataa kuwasomesha chuo wasomeshe wewe huko chuo
Hao madogo wanakosea sana. They've got high flying marks. Siksi muhimu sana. Wangepiga siski halafu diploma waendelee na chuo.Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Wanaenda kusoma nini huko chuo ndugu yangu!??Hawa watoto ndio ma great thnker wenyewe
Yani wameona wamepoteza miaka kibao kukaririshwa kinjekitile sasa wameona enough is enough hawataki tena kuendelea kupoteza muda wao
Wanataka wa rush faster kwenye ndoto zao
Ambao hamuwaelewi hao watoto nyie ndio vilaza
Elimu yetu ya kibwege sana, narudia ya kibwege sana
Thanks much kwa ushauriwanataka kusomea nini uko diploma ni heri pia kama watasomea vyuo vilivyo bora kwasababu watakuwa mbele ya muda kwasababu wakifaulu pia digree wanapata so hakuna shida hapo ni kuongea na wazazi wao na kuwapa faida na hasara
binafsi napendekeza waende diploma kwa kozi inayoeleweka , ila hao kuna kitu wanakitafuta mapema utandawazi umewaathiri, wnapenda uhuru, wanamishe zao nyingine
Mkuu ngoja nikutoe tongotongo, hata hayo yanayoitwaa ya sayansi kiuhalisia ni historia ya sayansi sio sayansi kama unavyodhaniUnadhani masomo yote ya kukariri?
Mleta mada kasema.wamechaguliwa A level kusoma masomo ya sayansi siyo hayo ya kukariri ya kinjekitile ya HKL ,HGL na yenye historia ndani kwenye combination
Masomo ya sayansi huwezi kukariri lazima uelewe
Kwa hiyo we waona bora wakafanye wakaitakacho au wakafanye wasichokipenda?Mkuu ngoja nikutoe tongotongo, hata hayo yanayoitwaa ya sayansi kiuhalisia ni historia ya sayansi sio sayansi kama unavyodhani
Watoto hawafundishwi kua ma archmedes bali wanafundishwa historia ya archmedes alivyofanya miaka hiyo
Sisemei huko sekondari tu, ninarafiki yangu alisoma mechanical engineering pale COet ila wakati anafanya field kwenye taasisi moja hapa jijini jamaa alikiri chuoni wanafundishwa makaratasi kwani jamaa wasioenda shule au walioishia madarasa ya chini walikua wanaelewa machines na mechanism zake walizofundishwa kwa uhalisia kitaani na veta na wao waliotoka vyuo vya uinjinia ndio walikua wanajifunza kutoka kwa hawa mabwana
Hao vichwani hakuna kitu,mtoto wa kidato Cha Tano anashindwa kutatua ishu ndogo kama hiyo?hapo ni kwenda wizarani,wakienda chuo,watajisomeshaje?wanajua ada ya chuo?Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Hao wadada waache upuuzi, yaan wanawaza bata na uhuru wa chuo, hawana lolote, wabaki hapo shule wapige kitabu. Huo wanaofanya ni ulimbukeni unawasumbua
Nwei kupanga ni kuchagua. Kazi kwao.
Wako sawa
Then hata hiyo itakuwa ndio choice yaoItakuwa ndio choice yao
Kama kila mtu angekua anafanya kile anachotaka na apendacho duniani hapa kusingetosha.
Waambie waache kulazimisha vitu Nature inajua wapi panawafaa ndio Maana hawakuweza kuchaguliwa chuo. So waebdelee hukohuko maisha/Nature yalipowachagua waende. Wakilazimisha wakubali kupokea matokeo huko mbeleni.
Life is Fair because it is unfair
Afu watoto wa siku hizi uhuru umepitiliza[emoji28][emoji28][emoji28] sisi selection zikitoka tu unaambiwa jiandae unaripoti hata kabla shule yenyewe hawajafungua [emoji28][emoji28]
Tuna safari ndefu ya kwenda
Kabisa kabisa...Hao wadada waache upuuzi, yaan wanawaza bata na uhuru wa chuo, hawana lolote, wabaki hapo shule wapige kitabu. Huo wanaofanya ni ulimbukeni unawasumbua
Nwei kupanga ni kuchagua. Kazi kwao.
Mwanangu alikuja na wazo kama hilo alipomaliza o level na nikamkatalia.
1. Kwanza nilimwambia mfumo wa kawaida wa nchi ni kusoma hadi form six ndipo uanze degree na kwa Kuwa lengo ni kupata degree ukimaliza diploma ya miaka 3 ni rahisi ukienda A Level kisha degree kuliko kupitia diploma
2. Pili chuo kuna uhuru ambao akienda kabla ya kufika 18 utamchanya na kumuharibia future kama asipokuwa makini
Alichukua ushauri wangu kwa sasa yuko 1st year Cardiff University UK. Wenzake walienda DIT Diploma ndio wako 3rd year na wakitoka hapo waanze degree. Wastage of time