Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

Hawa watoto ndio ma great thnker wenyewe

Yani wameona wamepoteza miaka kibao kukaririshwa kinjekitile sasa wameona enough is enough hawataki tena kuendelea kupoteza muda wao

Wanataka wa rush faster kwenye ndoto zao

Ambao hamuwaelewi hao watoto nyie ndio vilaza

Elimu yetu ya kibwege sana, narudia ya kibwege sana
 
Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,

Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,

Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu

Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.

Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,

Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,

Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema

NB: Jenipher baba ake ni komando JW

Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya

MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16

Caren Ana Div I-14

Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Wasaidie wewe au wao wenyewe waende TAMISEMI waombe watabadilishiwa post.
 
Hawa watoto ndio ma great thnker wenyewe

Yani wameona wamepoteza miaka kibao kukaririshwa kinjekitile sasa wameona enough is enough hawataki tena kuendelea kupoteza muda wao
Unadhani masomo yote ya kukariri?

Mleta mada kasema.wamechaguliwa A level kusoma masomo ya sayansi siyo hayo ya kukariri ya kinjekitile ya HKL ,HGL na yenye historia ndani kwenye combination

Masomo ya sayansi huwezi kukariri lazima uelewe
 
Shule ya A level ni shule iliyochangamka kwelikweli, sijui kwa nini watu wanaichukulia poa. Kiukweli nikiona CV ya mtu ambaye hana A level, huwa naona huyu mtu anakosa kitu flan hivi.
Tena ya sayansi moto wa kuota mbali yale masomo ni pre university class

Akitinga chuo anapasua hasa

Ndio maana aliyesoma masomo ya sayansi A level ruksa kuchukua digrii yeyote ya Arts hata kama kasoma PCB au PCM wanawajua wana akili kubwa mno kuliko mibichwa iliyisoma Arts

Mfano Profesa Shivji wa Law form six Tabora boys alisoma combination ya PMM yaani Physcs,Pure Mathematics ,Advanced Mathematics .Alipijiunga chuo kikuu cha Dar es salaam kusoma.Law aliongoza hadi kuwa Profesa wa Law

Advanced masomo ya sayansi ina added advantage kuliko hivyo vi diploma mbele ya safari kwenye kusoma digrii
 
Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,

Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,

Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu

Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.

Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,

Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,

Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema

NB: Jenipher baba ake ni komando JW

Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya

MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16

Caren Ana Div I-14

Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Pole mwanzisha mada au hao watu hawapo ila unataka kujua fursa kwa wanaosoma lower diploma/technician certificate na wale wenye bachelor degree.
Ukweli ni kwamba kwa hali ilivyo sasa na baadae kidogo hilo kundi la kwanza lina fursa sana kwani hawana bargaining power kubwa katika upande wa mishahara na wakati mwingine uwezo wao wa kazi wanawazidi hao kundi la pili
 
Wakitoka hapo waanze degree ya nini sasa?

Wapige kazi degree zenyewe ni waste of time
Watoto zangu wote nawapeleka International Universities so lazima wawe na degree tena ndio minimum education. Siwezi kuwapotezea muda na vidiploma uchwara
 
Kamwe usipingane na mawazo ya wazazi wa wanafunzi wako. Siku wakipatana utaonekana mbaya na kupoteza ajira. Wao ndio wanawafahamu watoto wao waachie hayo maamuzi. Kuweka bandiko hapa ni moja ya kujibebesha mizigo isiyokuhusu
 
Kupenya sayansi advance ni rahisi?
Commitment ya walimu A level nyingi nzuri iko vizuri ufundishaji na ufaulu

Diploma kuna walimu wabovu na wavivu acha kabisa ndio.maana hata huwezi jua chuo gani cha Diploma hufaulisha vizuri sababu vingi hamna kitu vinatoa wanafunzi average tu ambao hata sifa za kuingia chuo kikuu wengi hukosa sababu ya pass za chini
 
Watoto zangu wote nawapeleka International Universities so lazima wawe na degree tena ndio minimum education. Siwezi kuwapotezea muda na vidiploma uchwara
Advanced mtoto anasoma na wenzie level moja kiumri

Vyuo.vya Diploma anaenda kutana pamoja na vibibi na vibabu na mama ba mababa wenye watoto majumbani kwao
 
Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,

Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,

Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu

Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.

Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,

Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,

Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema

NB: Jenipher baba ake ni komando JW

Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya

MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16

Caren Ana Div I-14

Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Sidhani kama wana uamuzi kinyume na kinachoendelea sasa hivi, hasa ikizingatiwa kuwa wazazi wanakubaliana na maamuzi ya wizara. Wanaonekana wako vizuri kichwani, waendelee na masomo, na wasomee shahada za matamanio yao katika elimu ya juu.
 
Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,

Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,

Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu

Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.

Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,

Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,

Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema

NB: Jenipher baba ake ni komando JW

Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya

MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16

Caren Ana Div I-14

Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS

Amina68

Chuo sio shule. Chuo Kuna risk kubwa kuliko shule. Chuo Kuna Uhuru mkubwa mno.
Kwa umri wao ambao nahisi hata miaka 18 Bado hawajatimiza kwenda chuo ni kuwaweka pabaya.

Kuna uwezekano mkubwa wao kuiga maisha ya wenzao chuoni, kutokuwa na muongozo unaofaa wa namna Bora ya kuishi wawapo chuoni, kukosa usimamizi na kufata vishawishi.

Nawapongeza wazazi wao ni wazazi makini wameshayaona haya huko mbeleni ndio mana wanaona wao wasiwajibike kuwasomesha chuo Kama hawataki shule.

Mzazi ni mzazi Tu, ushauri wowote utakaowashauri na ukaenda kinyume na matakwa ya wazazi wao utawapoteza.

Kwa umri walionao ni nafuu zaidi wakienda shule ili wapate kukomaa kwa akili japo kidogo. Ila ni mapema sana wao kuwahi chuoni. Maisha ya kule wengi tunayajua, tumeyapitia na tumeyaishi.

Washauri vyema, Bado ni wadogo, wanaongozwa na vitu vya kusikia zaidi kuliko uhalisia.

Mungu awasimamie.
 
Kwa uwezo wa wazazi wao na ufaulu wa hao Watoto wa kike ni Bora wawatafutie vyuo vya Shipping and Marine, Ghana au South Africa. Kama wapo vizuri Kuna Singapore Polytechnic College Hapo wakisoma Diploma yoyote ya masuala ya Shipping au Marine wana priority Kubwa ya Kuwa recruited na Kampuni kubwa za Shipping zilizopo Singapore na hata wakirudi Tanzania wao Huwa maboss wa wale wenye degree.
 
Hao wadada waache upuuzi, yaan wanawaza bata na uhuru wa chuo, hawana lolote, wabaki hapo shule wapige kitabu. Huo wanaofanya ni ulimbukeni unawasumbua

Nwei kupanga ni kuchagua. Kazi kwao.

Akili za kitanzania kama si ki africa hizi,mnawazaga chuki na mambo hasi tu,
Kwanini msione jambo waliloamua kufanya ni jema?
 
Back
Top Bottom