Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 sasa wanatafta urahis kwa kakufunzi sio!?Kwa mwalimu wa chuo kikuu, ni rahisi sana kumfundisha mwanafunzi aliyepitia kidato cha sita, ukilinganisha na yule aliyetoka form four na kujiunga na kozi za Diploma.
Wizara ya hovyo sn. Unampangiaje mtu kitu ambacho hajachagua!Wako sawa
Hovyo sana mkuu.. Me nashangaaga sana hichi kitu yani hivi si wangetoa kabisa sasa hayo maswala ya kujaza selection?Wizara ya hovyo sn. Unampangiaje mtu kitu ambacho hajachagua!
Kusomea MD kwa sifa ya Diploma ngumu kupata
Wenye diploma wanaoenda kujiunga na digrii unawamulika kwa torch MD ina ushindani sio mchezo Waliopitia Diploma wengi hawapenyi
Anatakiwa kufaulu sio utani huyo mwenye diploma
Wengi huishia huko huko kwenye diploma
Mwanangu alikuja na wazo kama hilo alipomaliza o level na nikamkatalia.
1. Kwanza nilimwambia mfumo wa kawaida wa nchi ni kusoma hadi form six ndipo uanze degree na kwa Kuwa lengo ni kupata degree ukimaliza diploma ya miaka 3 ni rahisi ukienda A Level kisha degree kuliko kupitia diploma
2. Pili chuo kuna uhuru ambao akienda kabla ya kufika 18 utamchanya na kumuharibia future kama asipokuwa makini
Alichukua ushauri wangu kwa sasa yuko 1st year Cardiff University UK. Wenzake walienda DIT Diploma ndio wako 3rd year na wakitoka hapo waanze degree. Wastage of time
Ukijibiwa ni tag!!?Chuo wanapanga kusomea nini? Tuanzie hapo kwanza ,maana kozi nyingine ni vyema kupitia A .
unfortunately anaesoma ni mtoto ukitumia ubabe unaweza jikuta unampotezea ile hali ya kupenda achokisomea na mwisho wa siku kuwa chanzo cha kufanya vibayani kweli ila kuna watoto ni vichomi dada, kapangwa shule nzuri tu ila lenyewe akili sijui zinakua wapi matokeo ndo wazazi huenda na mfumo wa kidicteta ili mambo yaende
Personally , nashukuru huu mfumo and I never regret a thing.
ananiboaWe vp nawe nae
Acha kupotosha watu viko vyuo vingi ambvy havihitaj kwenda A Level....in short kupitia Advance sasahv ni kupoteza mudaChuo wanapanga kusomea nini? Tuanzie hapo kwanza ,maana kozi nyingine ni vyema kupitia A .
Aah okay dadaunfortunately anaesoma ni mtoto ukitumia ubabe unaweza jikuta unampotezea ile hali ya kupenda achokisomea na mwisho wa siku kuwa chanzo cha kufanya vibaya
Ukijibiwa ni tag!!?
Nina lundo la visichana vimerudi mtaani viko kama vikichaakichaa..
Vilienda vyuo baada ya kidato cha nne...sijui mipango...sheria..procurement...maji...ifm...na takataka nyingine nyiingii..
Vipo mtaani kazi yao sasa ni kuhudhuri tu sherehe kucheza singeli na misibani.
Kuna mahali serikali inakosea sana.. chuo laxima kiende maturity ya mtoto. Wengi wanapomaliza form four wanakuwa 17 years, kumpeleka mtoto kama huyu chuo ni kumkatili.
Chuo mtu anakuwa treated as an adult, hakuna sheria kali za malezi ukilinganisha na A level, hivyo basi vitoto vingi huishia kubung'aabung'aa tu na vinakuwa victims vya ngono zembe. Kwani ni vitoto ushamba umevijaa na havina akili.
USHAURI KWA SERIKALI...
Maana hili ni la serikali na haiepuki lawama.. ni vyema watoto waende hivi vyuo baada ya A level..na msiwapangie wazazi.. acheni mzazi alange na mwanae na si kuwaamuru kupitia selection.
Na vyuo vingi mnavyowapeleka hai watoto ni vya hovyoo,havina msaada wowote.
Unaambiwa wazazi wao wazito.Wizara ya hovyo sn. Unampangiaje mtu kitu ambacho hajachagua!
hizi ni akili za miaka 20 iliyopita, sahv kontena linazoa wote ata wenye degree tupo nao mtaan tuna dandia pikipiki za watu kupiga daywork😂😂😂😂😁😁Ukijibiwa ni tag!!?
Nina lundo la visichana vimerudi mtaani viko kama vikichaakichaa..
Vilienda vyuo baada ya kidato cha nne...sijui mipango...sheria..procurement...maji...ifm...na takataka nyingine nyiingii..
Vipo mtaani kazi yao sasa ni kuhudhuria sherehe kucheza singeli na misibani.
Kuna mahali serikali inakosea sana.. chuo laxima kiende maturity ya mtoto. Wengi wanapomaliza form four wanakuwa 17 years, kumpeleka mtoto kama huyu chuo ni kumkatili.
Chuo mtu anakuwa treated as an adult, hakuna sheria kali za malezi ukilinganisha na A level, hivyo basi vitoto vingi huishia kubung'aabung'aa tu na vinakuwa victims vya ngono zembe. Kwani ni vitoto ushamba umevijaa na havina akili.
USHAURI KWA SERIKALI...
Maana hili ni la serikali na haiepuki lawama.. ni vyema watoto waende hivi vyuo baada ya A level..na msiwapangie wazazi.. acheni mzazi apange na mwanae na si kuwaamuru kupitia selection.
Na vyuo vingi mnavyowapeleka hao watoto ni vya hovyoo,havina msaada wowote.
😂😂😂😂Waliomaliza degree wapo mtaani wanafanya nini?
Atleast they followed the right path! With mental and physical maturity. Acheni kubaka watoto... Maana hawa form four wanaoenda chuo hakuna tofauti na ubakaji tu wa kifikra...Waliomaliza degree wapo mtaani wanafanya nini?
Hawa watoto wasilete ujinga tunahitaji wana sayansi wengi serikali sio wajinga kuwapeleka hukoWanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,
Wanafunzi Hawa walichaguliwa kujiunga kidato Cha 5 iringa girls mwaka huu,
Wameshareport lakini swala lao kubwa ni kwamba hawataki kusoma A level na hawakuijaza ktk machaguo ,waliopt chuo tu
Lakini wizara ikawatupa Iringa girls masomo ya sayansi.
Nikiwa kama Madam wao wa part-time, wamenifata na kuniambia kwamba hawataki kabisa A level wanataka waende chuo diploma 3 years,na wamejaribu kuongea na wazee wao wamesema Kama wanataka chuo wajisomeshe,
Sasa wamenifata kuniomba ushauri wafanye nn,maana wanaona kukaa huku A level ni kupoteza muda tu,
Hawa Watoto wanafikiria mpaka kutoroka shule,wapo dillema
NB: Jenipher baba ake ni komando JW
Caren mama ake ni Moja ya walinzo cruel ya Hangaya
MATOKEO YAO: Jenipher Ana Div I Pts 16
Caren Ana Div I-14
Ushauri kwenu wakuu GREAT THINKERS
Kwann wasifiti?Atleast they followed the right path! With mental and physical maturity. Acheni kubaka watoto... Maana hawa form four wanaoenda chuo hakuna tofauti na ubakaji tu wa kifikra...
Na wengi wanakuja shtuka baadae that they had their time wasted...wanajikuta they dont fit anywhere as per the ed. level.