Wanafunzi Jenipher na Caren wa Iringa girls wanahitaji ushauri wenu,enyi GREAT THINKERS

Hao wazazi wanafuata mkumbo tu
 
swali wewe ndie mazazi kwa hao vijana
Swali jingine je unao ujamaa nao hao vijana
Majibu hapana
Sasa wewe ni Nani ? Ushauri acha nao hao vijana watakuumiza kichwa
 
Umemalizaaaaaa, ahsanteee
 
Watajua wao na maisha yao.
 
Akili za kitanzania kama si ki africa hizi,mnawazaga chuki na mambo hasi tu,
Kwanini msione jambo waliloamua kufanya ni jema?
Umeona nilichomalizia hapo chini? Kaa kwa kutulia.
 
Kwa ushauri wangu ni vyema sana wasome A-Level ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele kwa elimu ya juu huko baadae. Wakienda chuo wajue wanenda kusomea taaluma na wakimaliza ikatokea wakapata ajira basi wataajiriwa na kulipwa mshahara wa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne. Lakini wajue wao ni watoto wa kike wanakimbizana na muda dhidi ya umri na majukumu wakikosea hapa mwanzo itawawia ngumu sana kurudi shule huko mbeleni wakiwa tayari na majukumu ya kifamilia.
 
Kama wazazi wana fedha A level sio kupoteza muda ila kama makapuku ni heri waende COTC wachukue diploma ya clinical officer wapate ajira.
Ila kwa wadhifa wa wazazi wao ni vyema waendelee advance ili wakitoka hapo wakachukue degree ili baadaye wapachikwe pazuri
 
Wazazi washasema. Wabaki hapo hapo zoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…