Omba uone karatasi moja iliyojibiwa na mtahiniwa aliyefeli unaweza ona ameshindwa hata kudefine constitutional amendment
"Tusiingize siasa kwenye Elimu"
Sahihi kabisaWanafunzi Vihiyo
Wanafunzi wanaBet
Wanafunzi muda wote Simba na Yanga
Wanafunzi Washamba wa Jiji
Wanafunzi muda wote Daimond na Ally kiba wametoa wimbo gani
HUWEZI KUFAULU LAW SCHOOL
H
Haijalishi yuko inservice or fresh from school,.. nyinyi msifocus kuwalaumu hao walimu pekee ninyi Hamna madhaifu... Wanafunzi zaidi ya 400 wana supp means wananafasi ya kutoboa mitihan ijayo so Hali ya ufaulu kupanda... Nina Mwana mmoja bimeskul naye alikuwa mvivu Vivu hta kusoma nikasikia kaenda law baadaye law school Leo nazungumzia mwaka wa 8 anastruggle kutoboa supp hapo law school...
So msitake kubebesha lawama Kwa walimu tu.. ninyi ndo mnamapungufu mengi sana
Unaonekena kila mahali.Ubovu wa elimu unaenda kuonekana Law School tu? Si kwingine na tunaona ni sawa?
This is so true, wahitimu wa vyuo ni Tatizo na sio waalimu wa law school.H
Haijalishi yuko inservice or fresh from school,.. nyinyi msifocus kuwalaumu hao walimu pekee ninyi Hamna madhaifu... Wanafunzi zaidi ya 400 wana supp means wananafasi ya kutoboa mitihan ijayo so Hali ya ufaulu kupanda... Nina Mwana mmoja bimeskul naye alikuwa mvivu Vivu hta kusoma nikasikia kaenda law baadaye law school Leo nazungumzia mwaka wa 8 anastruggle kutoboa supp hapo law school...
So msitake kubebesha lawama Kwa walimu tu.. ninyi ndo mnamapungufu mengi sana
Usahihi huo ni kutokea wapi?Sahihi kabisa
Swadakta !Kuna muda mwanafunzi anapofeli na mwalimu naye anapaswa ajitathimini kiukweli kwenye ufundishaji wake kama kweli anaeleweka
Law School kazeni hapo hapo. Mkilegeza tu, taaluma yenu itateketea. Nawafahamu vizuri wasomi wenzangu wa hivi karibuni. Wengi wao ni majanga na sishangai kwanini wanafeli Law School.
Umeanza personal attacks, hivyo huna hoja.Anasema Prof. Mahalu:
“Haiwezekani wanaofeli mtihani wa uwakili pale LST hawana ujuzi na maarifa katika masomo yao kutoka vyuo walivyosoma. Hapana! Kuna tatizo na lazima utafutwe ufumbuzi,”
Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe
Kwani hili povu lako unalotema form IV failure mwenzetu ni kutokea wapi?
CV yako tafadhali.
Wanafunzi kama wewe hata lakwanza utamalizajeeeKwa maneno kama yako ni wazi kuwa uko kwenye ule umati wa watu wa hovyo kabisa. Mmejawa wivu, choyo, husuda, fitna, ujinga, upumbavu na ujuaji uliopitiliza. Hamna mchango wowote kwa taifa hili.
Bure kabisa!
Prof. Mahalu anajulikana na CV yake.Umeanza personal attacks, hivyo huna hoja.
Kama wanafunzi wengi wanafeli Law School basi shida imeanzia nyuma zaidi.
Kama mtu anashindwa kukidhi vigezo vya ufaulu, afaulishwe kwa lazima ili Law School ionekane inafaulisha sana? The Law School of Tanzania doesn't need cheap clout.
Kama kitu ni kigumu ni kigumu, hulegezewi ili kiwe rahisi, inabidi ukaze msuli.
Inaonekana hata Law School hujui ni nini wala nia na dhamira yake, mpaka una draw irrelevant comparisons between other schools/universities and The Law School of Tanzania.
Wewe mwenyewee Kwa tabia zako hizo utasomeshwa na nani Hadi ufaulu, Kwa Sasa kunavyuo baadhi ni vya mchongo, degree wanazotoa ziko low quality. Napongeza kabisa Chuo chenye msimamo imala, sio kutoa toa vilaza watupuuu. Mwalm mwenye msimamo ndio msaada zaidiiii kwenye jamiii. Degree na masters ni vitu vya kuheshim saaana, Sasa unakutaa mtu kazirura zurura kidogo halafu anarudi na kukwambia eti ana shahada au uzamili flani, yaaani ukiangalia vyeti vyake na anachodefend haviendaniiii. Wanafunzi tubadilikeee, kama mtu kaaamua kwenda shule asomeee Sasa na kama hataki abakiii. WALIMU wa vyuo vikuu, kazeniii saaana Hadi wanafunzi waone shule sio lelemama hapo ndioo mtalisaidia Taifa na ULIMWENGU Kwa ujumlaa.Wanafunzi wa chuo kipi ndugu? Mbona vipo vyuo vingi na wanafunzi wabafanya vyema tu?
Hata hivyo inafahamika moo watanzania wengi mnaodhani chuo mi law school peke yake.
Kazi ipo!
Kwani si wanaweza pata majibu ya mtihani baada ya matokeo kuona wamekosea wapi au kukata rufaa na kuangaliwa upya.
Mie nadhani ni hatua sahihi za kuchagua quality over quantity, wasomi wengi wa Tanzania ni makanjanja huko nyuma inaonekana wengi walikuwa wanafaulu kirahisi.
Inanikumbusha enzi za Magufuli na mkutano wake na wafanyabiashara yupo mmoja alikuwa na hotel analalamika kaajiri kijana ana masters lakini ata kuandika barua za kiofisi awezi, matokeo yake yeye mwenye hotel inabidi afanye kila kitu. Baadae akasema msione sector ya hotel and tourism wanaajiri wakenya wengi ni kwasababu vijana wa kitanzania uelewa wao mdogo sana.
Katika wataalamu kumi utakaowasikia Tanzania hasa nje ya serikali labda mmoja ndio amebobea hapo nazungumzia walimu wa vyuo na wengineo. Watu pekee wenye uelewa mpana Tanzania mara nyingi ni wakurugenzi wa wizara au vigogo wenye technical posts za juu ndani ya wizara au idara za serikali. Vinginevyo siku ukiingia kwenye mijadala ukisikiliza hasa ile ya space dah unabaki unajiuliza huyu bwana ni lecture kabisa.
Bora hivi wawe wakali kutoa wafaulu wenye quality, kuliko quantity Halafu hovyo.
Wewe mwenyewee Kwa tabia zako hizo utasomeshwa na nani Hadi ufaulu, Kwa Sasa kunavyuo baadhi ni vya mchongo, degree wanazotoa ziko low quality. Napongeza kabisa Chuo chenye msimamo imala, sio kutoa toa vilaza watupuuu. Mwalm mwenye msimamo ndio msaada zaidiiii kwenye jamiii. Degree na masters ni vitu vya kuheshim saaana, Sasa unakutaa mtu kazirura zurura kidogo halafu anarudi na kukwambia eti ana shahada au uzamili flani, yaaani ukiangalia vyeti vyake na anachodefend haviendaniiii. Wanafunzi tubadilikeee, kama mtu kaaamua kwenda shule asomeee Sasa na kama hataki abakiii. WALIMU wa vyuo vikuu, kazeniii saaana Hadi wanafunzi waone shule sio lelemama hapo ndioo mtalisaidia Taifa na ULIMWENGU Kwa ujumlaa.
Wewe sasa utaachana na ajira ya bodaboda kwa mfano?Sasa wanafunzi kama wewe utafaulujee Kwa mfanooo??
Akili yako inawaza Kila mtu ni bodabodaa halafu unazungumzia ufaulu wa shule za sheriaa. Duuuuuuh sikufaham kama uko hivyoo.Msimamo imala ni upi ndugu? Ujumlaa nao ni upi?
Boda boda nanyi mnacho cha kuchangia huku?
Ndiyo maana mnaambiwa ajira zenu ni za laana.
Yaaani kiwango chako Cha kufikiri ni bodabodaa halafu napoteza mda kujibu. Hovyo kabisaaWewe sasa utaachana na ajira ya bodaboda kwa mfano?