Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Chuo si kinafuata ukristo 😅toeni lile sanamu pale.Kwa hiyo wewe umejiunga na chuo kwa kuvutiwa na mavazi ya sanamu?
Sasa wenye chuo chao wanakutaka uvae wanavyotaka, kama unaona karaa hamia sehemu inayokupa raha.
Zile amri kumi mmezitoa wapi wakati walipewa mayahudi.Waislamu nadhani mmekalilishwa utamaduni wa mudi ndio uislamu kuanzia lugha kiarabu, mavazi(kanxu na niqabu) mpaka kukosa elimu(mtume hakujua kusoma mkaita elimu ya makafiri).
Msingi wa ukristo ni kumkubali yesu ndio bwana na mwokozi wa maisha yetu na sheria za kristo(Yesu) ni amri kumi za Mungu katika hizo hakuna kipengele cha hijabu, kitimoto wala lugha.
Ni kweli chuo kikuu cha kiislamu Morogoro wanachuo Wakristo hulazimishwa kuvaa hijabu na hicho cha Hydom wasichana wa kike wa kiislamu wavae kadri ya maagizo ya chuo waachane na hizo hijabu"When in Rome do as the Romans do"
Nguo fupi na suruali kwa wadada.Mavazi ya heshima ya kanisani yap? Sasa Qur an imeeleza mavazi hayo ya heshima jinsi gani ya kujistiri.
Qur an haijawahi kuandika kitu kwa tamaduni fulani ,kila kitu kinalingana na sehemu husika mfano kujistiri kisheria hawakutaja hijab wala niqab...Ila mavazi hayo ni maalumu mtu kujistiri hata utumie kanga , gauni refu na kufunika kichwa ni sawa.
Jamii husika ndio inachagua ivae vipi kam utekelezaji kisheria ila kufia lengo , kaangalie wanavyovaa yale mavazi pale vatican then niambie pameandikwa wapi kweny biblia? Ishu ya mavazi ni chaguo ili kufikia lengo kwa vile ukivaa hijab upo ndani ya kujistiri sio kosa ,hata uvae kanga ni mulemule.
Qur an haya hata kweny mida haijataka saa fulani, bali dalili za kimazingira ya dunia kama kuchomoza kwa juu basi ni mda fulani ,kuandama kwa mwezi basi ni dalili ya kuingia mwezi mwingine.
Sasa kama kweli mnafuata hayo mavazi ,vile vimini vya nn tena ? Biblia inasema mwanaume asizae mavazi ya kufanana na mwanamke and vice versa.
Chuoni kuna dressing code ila sio wote wafuata ,je umejua chuo kimepiga marufuku mavazi gan?
N nyinyi makafiri waabudu mtu mbona hatuwalazimishi kuvaa ushungi kwenye vyuo vya kiislam badala yake mnakuja uchiChuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungu.
Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shuni zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Mojawapo ni Iran serikali ya Iran Nusura ipinduliwe baada ya kuua msichana Mahsa akiyeonekana hajavaa hijabu.Sasa hivi wanawake wanatembea vichea wazi wamevaa jeans na hakuna wa kuwasumbua wengi wamesusa hijabuInasemekana hara huko ilikotoka dini wameanza kuachana na huo uvaaji ili kila awe huru aishi atakavyo
Kweny biblia hakuna kufunika kichwa?una uhakika?Nguo fupi na suruali kwa wadada.
Nimekuambia kufunika kichwa sio utamaduni wetu unaniletea stori za kufunika kwa khanga na bla blà..
Mapadri wanavaa kanzu kwenye misa na ma sister wanavaa wanafunika nywele wakati wote hizo ni taratibu zao sio sheria za Mungu.
Tadamaduni zetu ndio zinazo amua.
Ukimwambia dada wa kitanzania aje amevaa nguo za heshima ataelewa kwa sababu anajua nguo za heshima ni zipi kwa jamii yake.
Ukimwambia mzungu aje amevaa nguo za heshima naye atakuelewa kulingana na utamaduni wake hivo hata msouth atakuelewa kulingana na utamaduni aliozea.
Jaribu kuutenganisha ukristo uislamu na uyahudi
Uongo Chuo kikuu cha kiislamu Morogoro wasichana wakristo wanalamishwa kuvaa kiislamuN nyinyi makafiri waabudu mtu mbona hatuwalazimishi kuvaa ushungi kwenye vyuo vya kiislam badala yake mnakuja uchi
Uko sahihi, shule ya dini utavaa kama wanavyotaka. Hutaki ondoka. Hospitali ya Siha Tanga, lazima uvae ushungi maana ni hospital ya dini!......waislamu. Hutaki acha kufanya kazi hapo. INGAWA KWENYE PUBLIC ENGANGEMENTS LAZIMA ISSUES ZA DINI AFFILIATIONS ZIANGALIWE UPYA. AND PREFERABLY ZIONDOLEWEChuo kinamilikiwa na kanisa, ya nini kuingiza tamaduni za kiislam ndani ya ukristo? Vyuo viko vingi hao wanafunzi waislam wakasome huko wanakovaa ushungu.
Chuo kina dressing code yake msing'ang'ane na shuni zenu vaeni wanavyotaka wenye chuo
Un uhakika?Uongo Chuo kikuu cha kiislamu Morogoro wasichana wakristo wanalamishwa kuvaa kiislamu
Unasemaje kuhusu chuo kikuu cha kiislamu Morogoro kulazimisha wanachuo wa kike wakristo kulazimishwa kuvaa kiislamu? Hilo nalo vipi?Chuo kinafanya ukatili mkubwa sana, wapewe uhuru wao wa kuabudu.
Ule ni utaratibu wao wala sio amri kutoka kwa biblia wanaweza wasivae hizo kanzu haimaanishi Mungu hatapokea maombi yao.Zile amri kumi mmezitoa wapi wakati walipewa mayahudi.
Kama mavazi uliambiwa wapi ma'sisters wavae vile wakati ni mfumo wa kikoloni ,ebu nionyeshe kweny Bible kwamba mapandre na masisters wavae vile?
Hivi ni chuo cha serikali au?Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
Hapo kwenye sheria zakisheria.. Naomba ufafanuziKwa hiyo stara ni kuvaa niqad tu 😅😅naongelea kujifunika kichwa na sheria za kisheria .
Niqab sio lazima ila kujifunika kichawa hata kwa kanga.
Hawa ndio kioo cha ukristo👇
View attachment 2919722
Kafiri sio tusiMatusi, atusi ya nini? Unaweza kutoa hoja bila matusi.
Basi kama matusi ni mazuri, na mama yako ni kafiri
Yes walitakaga mahakama ya Kadhi- ila Magereza ni haya haya yaliopo chini ya wizara ya mambo ya ndani!Mkuu sorry nje mada kidogo! Hv kuna kipindi nliskiaga wanadai mahakama ya kadhi🤔hivi ndo inakuaje? Wanahukumu kwa kutumia torati? Magereza yao ni hii hii ya kwetu? Hakimu ni nan
🙏🙏🙏🙏
Si mjenge vyuo vyenu muweke hizo sheria zenu chuo cha kanisa wewe unalazimisha imani yako ifuatwe jenga chak0Naona hasa chuki za waziwazi juu ya uislam.
Kwahiyo wasio wa Kiislamu "hawavai stara"?Habari,
Wanafunzi wa kiislam katika chuo Cha mafunzo ya sayansi za afya haydom wanapata changamoto ya kuvaa stara wakati Wizara ya Afya imeruhusu wanafunzi wa kiislam kuvaa ushungi na nguo ndefu zenye maadili.
😅😅😅Umepanic dogo basi kufunika kichwa kweny ukristo ni amri seme hamtaki 😅.Ule ni utaratibu wao wala sio amri kutoka kwa biblia wanaweza wasivae hizo kanzu haimaanishi Mungu hatapokea maombi yao.
Kwenye ukatoliki kuna amri za kanisa na kwa padre na ma sister ni nguo walizokubaliana.
Ni kama nyie mnavyo sema uislamu uanruhusu kumnyonya mtu sehemu za siri nikuombe unionyeshe mudi akinyonywa sehemu za siri