Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ninaposema sheria za kisheria nina maana sheria za kisheria (sharia yaani sheria za kiislamu?Hapo kwenye sheria zakisheria.. Naomba ufafanuzi
Kwahiyo ukiumwa hutibiwi na asiyevaa "madude ya kufunika mwili?"Ufaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.
Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
Kwahiyo unataka sheria za kiislamu zitumike kwa wasio waislamu in Tanzania..!!Ninaposema sheria za kisheria nina maana sheria za kisheria (sharia yaani sheria za kiislamu?
Kifupi ni kisheria kwa muongozo wa dini ya uislamu .
Hatutaki hayo mavitu ya kufunika mwili, yanaficha mengi, wanao jilipua na kutoa kulipua huvaaga madude ya kujifunika.Kila kitu kina taratibu zake! Ziheshimiwe...!!!
Mtu amevaa kulingana na sheria ,je mbona mnadai mnaheshimu dini nyingine?Kwahiyo unataka sheria za kiislamu zitumike kwa wasio waislamu in Tanzania..!!
Achana na tafsiri ya biblia utajipotosha mpaka kesho.😅😅😅Umepanic dogo basi kufunika kichwa kweny ukristo ni amri seme hamtaki 😅.
Hili andiko linatoka wapi tena ni agano jipya 👇👇
1 Wakorintho 11:5
"Lakini kila mwanamke anayeomba au kuhubiri bila kufunika kichwa chake, anamdharau yeye mwenyewe, kwa maana ni sawa na kufinyilia nywele zake."
Mambo mengi mnaenda against Bible imekataza ushoga ,ile nyie mnaruhusu ,je mnafuata kitabu gani?
Hilo ni agano jipya 😅😅Achana na tafsiri ya biblia utajipotosha mpaka kesho.
Wakristo hawaishi kwa torati , wanaishi kwa neema.
Torati ukitaka ishike yote, Yesu alikuja kuitilikliza na
Mpagani Accumen Mo nakufunza leo tu, wewe na wapuuzi wengine msirudie kusoma Biblia na vimistari mnavolishana kwenye magroup yenu ya Anti-christ.Hilo ni agano jipya 😅😅
Yaani huu ujinga hauingii akilini kabisa 😅😅...Wanyolewe nywele halafu waambiwe wafunike nywele zao ?Mpagani Accumen Mo nakufunza leo tu, wewe na wapuuzi wengine msirudie kusoma Biblia na vimistari mnavolishana kwenye magroup yenu ya Anti-christ.
Lakini kwa nini nywele ilikuwa suala katika Korintho? Jibu liko katika utamaduni wa siku. Jiji la Korintho lilikuwa na hekalu lililotolea kwa Masemenya, mungu wa upendo, na mahali hapo hapakuwa maharufu kwa mazoezi ya tambiko la ukahaba.
Wanawake waliohudumu katika hekalu hilo walikuwa wananyolewa vichwa vyao. Katika utamaduni wa Korintho, basi, kichwa kilichonyolewa kiliashiria mwanamke kama kahaba wa hekalu. Paulo anaiambia kanisa kwamba mwanamke aliyekuwa amenyolewa lazima afunikwe (1 Wakorintho 11: 6), kwa maana mwanamke aliyekuwa amenyolewa nywele zake alikuwa amepoteza "utukufu" wake, na hakuwa chini ya ulinzi wa mume.
Kichwa kilichonyolewa bila kifuniko kilituma ujumbe: "Ninakataa kujisalimisha kwa utaratibu wa Mungu." Kwa hiyo, Paulo anafundisha Wakorintho kwamba urefu wa nywele au kuvaa "kifuniko" na mwanamke ilikuwa ni dalili ya nje ya kujisalimisha kwa Mungu na mamlaka yake imara. Hii ilikuwa njia moja Kanisa la Korintho lilipaswa kuwa tofauti na utamaduni wa kipagani ulioharibika uliowazunguka (2 Wakorintho 6:17).
_______________________
Ati-Christ Accumen, soma context ya Biblia na siyo kimstari kimoja kwenye magroup yenu ya Freemason!
Kila mazingira yalikuwa na maana yake.
Kasome hapa labda dhehebu lenu 😅😅 kujistiri ni lazimaMpagani Accumen Mo nakufunza leo tu, wewe na wapuuzi wengine msirudie kusoma Biblia na vimistari mnavolishana kwenye magroup yenu ya Anti-christ.
Lakini kwa nini nywele ilikuwa suala katika Korintho? Jibu liko katika utamaduni wa siku. Jiji la Korintho lilikuwa na hekalu lililotolea kwa Masemenya, mungu wa upendo, na mahali hapo hapakuwa maharufu kwa mazoezi ya tambiko la ukahaba.
Wanawake waliohudumu katika hekalu hilo walikuwa wananyolewa vichwa vyao. Katika utamaduni wa Korintho, basi, kichwa kilichonyolewa kiliashiria mwanamke kama kahaba wa hekalu. Paulo anaiambia kanisa kwamba mwanamke aliyekuwa amenyolewa lazima afunikwe (1 Wakorintho 11: 6), kwa maana mwanamke aliyekuwa amenyolewa nywele zake alikuwa amepoteza "utukufu" wake, na hakuwa chini ya ulinzi wa mume.
Kichwa kilichonyolewa bila kifuniko kilituma ujumbe: "Ninakataa kujisalimisha kwa utaratibu wa Mungu." Kwa hiyo, Paulo anafundisha Wakorintho kwamba urefu wa nywele au kuvaa "kifuniko" na mwanamke ilikuwa ni dalili ya nje ya kujisalimisha kwa Mungu na mamlaka yake imara. Hii ilikuwa njia moja Kanisa la Korintho lilipaswa kuwa tofauti na utamaduni wa kipagani ulioharibika uliowazunguka (2 Wakorintho 6:17).
_______________________
Ati-Christ Accumen, soma context ya Biblia na siyo kimstari kimoja kwenye magroup yenu ya Freemason!
Kila mazingira yalikuwa na maana yake.
Hizo ngou wanavaa wao ila joto unasikia wewe. Ajabu hii
Nadhani hata Saudi piaMojawapo ni Iran serikali ya Iran Nusura ipinduliwe baada ya kuua msichana Mahsa akiyeonekana hajavaa hijabu.Sasa hivi wanawake wanatembea vichea wazi wamevaa jeans na hakuna wa kuwasumbua wengi wamesusa hijabu
Haya mambo ndiyo kama ya Laila Odinga na Ruto kuhusu kukata, Mungu angeona ulazima wa wanawake kujisitiri angewaumba hivyo mwenyewe tangu uumbajiKasome hapa labda dhehebu lenu 😅😅 kujistiri ni lazima
mbona mums ya pale moro watu wanalazimishwa maadili ya kislamu, tutoleeni ujinga kila mtu akajenge cha dini yake asomee hukoHicho chuo kimesajiliwa kwa mrengo wa kudahili wanafunzi wa kikiristo pekee?
Kuheshimu dini nyingine hakuna maana ya kuweka mambo ya dini ya wengine kwako..!! Vipi kama hayo mambo yanakinzana? Haya, mwingine ataleta kitimoto, na mwingine hataki hata kusikia kuhusu kitimoto, hapo kwenye kuheshimu dini ya mwingine unataka kifanyike nini?Mtu amevaa kulingana na sheria ,je mbona mnadai mnaheshimu dini nyingine?
Huu unafiki mnautoa wapi? Mara demokrasia .!
Umepigilia msumari penye kidondaJKT wanavaaga hayo magunia na mitandio?
POLISI NA TRAFICK wanavaaga hayo madude?
Mwambieni mkuu wa majeshi na IGP mnaonewa mnataka kuvaa hayo madude!
Hata nguo tusivae kabisaHaya mambo ndiyo kama ya Laila Odinga na Ruto kuhusu kukata, Mungu angeona ulazima wa wanawake kujisitiri angewaumba hivyo mwenyewe tangu uumbaji
ka dini kenu kaliona fahari kujenga misikiti, wacheni wakristo wainjoy matumiz ya sadaka zaoUfaransa walipiga marufuku niqab sio kuvaa nguo za stara. Ushungi na baibui unavaa kama kawaida isipokuwa kufunika uso kama ninja.
Halafu usilazimishe dada zetu wavae uchi kama dada zako wafanyavyo hadi makanisani kwa kisingizio cha jua kali.
wajenge wapi? akili hiyo watoe wapiKasomeni kwenye vyuo vyenu binavyoruhusu hayo mavazi[emoji108]
Au hata hivyo vyuo hamna?[emoji1787][emoji1787]
Mnajua kujenga madrasat tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
basi wakasomee kanisani basiPicha za sanamu makanisani za Maria zote amevaa vazi la stara/hijabu.
Halafu mnataka mabinti zenu wavae mini skirt mapaja nje nje kutamanisha vidume.