Wahyi maana yake ni NENO LA MUNGU...... (Mungu wa kweli)..Neno la Mungu wa kweli ndiyo WAHY...kwa hiya unapo sena Muhammad ni wakwanza katika kufuata wahy uliotelemka zama zake ...maana yake ni sawa na kusema MUHAMMAD NI WA KWANZA KULITII NENO LA MUNGU LILILO SHUKA ZAMA ZAKE KIKAMILIFU .... Sindiyo ? π hapa sasa kuna maswali kama ni hivyo... hoja ya muislamu wa pili na watatu ndani ya huu mtililiko. tukiitizama tunagundua kuwa siyo kwenye DHANA YA KUFUATA WAHY maana wapili ni bi hadija sasa bi hadija alikuwa ni mbora kuliko maswahaba wa kiume na waliopigana jihad...? Kumbuka logic ya wakwanza maana yake kuna wapili na watatu na kuendelea ...huh mtililiko ni muhimu sana Kwenye kutambua nini maana ya Muhammad kuwa wa kwanza.... kumbuka inadiwa kuwa wapili ni bi Hadija.Au hujui maana ya wahyi???
Tuache upumbavu, wakati wa Yesu kulikuwa muhamadans?Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo ππππ
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Tuache upumbavu, wakati wa Yesu kulikuwa muhamadans?
Nani amekwambia Khadija ni wa pili tuanzie kwanza hapo?maana wapili ni bi hadija sasa bi hadija alikuwa ni mbora kuliko maswahaba wa kiume na waliopigana jihad...
Muhamad hakuandika Qur'an na wale walioandika waliandika 5 tofauti Othman akachagua hii moja akachoma zile nyingine sijui kwa amri ya nani.Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema
Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.
Sasa Unabisha ulikuwepooo ππππ
Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.
Wazolee
Dumas the terrible
Basi ka mwamedi katakuwa kalichakachua! Si unakumbuka hata kuran yenyewe ka mwamedi ndiko kalitelemshiwa?Bro ni Quran ndio imesema hivyo.
Mashekh na waislamu wenzako ndiyo wanao sema hivyo basi tuambie wapili ni nani?Nani amekwambia Khadija ni wa pili tuanzie kwanza hapo?
Hao mashekh wamekwambia Bi Khadija ndiyo wa pili katika kutekeleza wahy kwa ukamilifu?Mashekh na waislamu wenzako ndiyo wanao sema hivyo basi tuambie wapili ni nani?
Nyie si mnaamini Budha na Krisha ni manabii wa uislamπππLete ushahidi wa Yesu kusema kuwa Mimi yesu ni Mungu niliyetwaa mwili wa binadamu, Hizo ni imani za Wahindu na mabuda au unaamini bagwani ni mungu ?? na Budda ni mungu ??
Ndivyo alivyokuambia Nabii wako Tito?Nyie si mnaamini Budha na Krisha ni manabii wa uislamπππ
Makafir wenzako wa Makkah wamenadika wikipediaNdivyo alivyokuambia Nabii wako Tito?
Mashekh na waislamu wenzako ndiyo wantsNani amekwambia Khadija ni wa pili tuanzie kwanza hapo?
Kama wakwanza ni Muhammad kwa hoja ya wahy basi wapili na watatu nk hoja na mtililiko ni huo huo wahy si vinginevyo...usilete ujanja wa nyani.β kama siyo basi tuambie bi hadija ni wapili kwenye kigezo gani ilitujua wa kwanza ni nani ?Hao mashekh wamekwambia Bi Khadija ndiyo wa pili katika kutekeleza wahy kwa ukamilifu?
Pia Khadija ni wa pili kwenye kufuata wahy wa Mtume Muhammad na si wa pili kwenye kuutekeleza kiukamilifuMashekh na waislamu wenzako ndiyo wants
Kama wakwanza ni Muhammad kwa hoja ya wahy basi wapili na watatu nk hoja na mtililiko ni huo huo wahy si vinginevyo...usilete ujanja wa nyani.β kama siyo basi tuambie bi hadija ni wapili kwenye kigezo gani ilitujua wa kwanza ni nani ?
Halafu nyinyi mnapenda kuuliza maswali tu kujibu maswali yetu hamtakiMashekh na waislamu wenzako ndiyo wants
Kama wakwanza ni Muhammad kwa hoja ya wahy basi wapili na watatu nk hoja na mtililiko ni huo huo wahy si vinginevyo...usilete ujanja wa nyani.β kama siyo basi tuambie bi hadija ni wapili kwenye kigezo gani ilitujua wa kwanza ni nani ?
Nabii wangu Mizra Gulam kanihabarisha. Mtume wa mwisho wa allahNdivyo alivyokuambia Nabii wako Tito?
Kwa nini umeniita goi goi?Bro Lwiva . Huyu jamaa Al-mukheef ni goi goi.
Mohamed akipopata wahyi alirud kwa Mshangazi wake Bi khadija. Akiwa ana tetemeka na baadae Bi Khadija akampeleka mwa Mkristo (Waraqa) ambaye ni Binamu yake ili kujua je alishukiwa na shetani au malaika.
Ila kabla ya hapo. Bi khadija eti alikuwa anamjua allah.ππππ
Na akasema
"βHapana! Wallahi, Allah hatakufedhehesha kamwe.
Wewe unaunga jamaa,
unawasaidia wanyonge,
unawahudumia maskini,
unawakarimu wageni,
na unasaidia waliopatwa na misiba.β
Bi khadija alitumia fedha na muda wake kumpa sapport mume wake Mohamed. Kwahiyo mfanyabiashara Bi khadija alimuamini yeye (mohamed) kama wa kwanza kwenywe hii biashara yao mpya ya uislam.
Tuhitimishe kuwa Aliyemuunga mkono wa kwanza ni Bi khadija. Na ndiye muislam wa Pili.
Kwa nini umeniita goi goi?
Kama umeona kujadiliana na mimi hauwezi basi ni bora tu ukatulia mimi nijadili na wengine na ujadili na wengine sijawahi kukutukanaKwa mfano mtu akiwa kichaa hajijui.
Ila Watu wa nje ndio wanaona ukichaa wake.