Mkuu sijapanga interview iwe ya aina gani nacho uliza hapa ni uhalali wa kutumia kigezo kimoja kufanya generalization ya dhana nzima ya kitu wakati sio sahihiSasa waajiri huwezi kuwapangia unachotaka mkuu! Wao ndio wenye dhamana na wanajua ni interview ipi inafaa kwa ajili ya kazi yao.
Sasa wewe unawapangia interview tena!
Na hapa ndo kwenye mzizi wa fitina mkuu waajiri wengi wamejificha kwenye kuwa nanga wenye degree kumbe chini ya meza nafasi hizo Wana watu wao mfukoni au mwajiri Elimu ya kuunga unga hawezi ruhusu akili kubwaNyie waajiri ndo mna figisu, mnataka hizo nafasi mwape ndugu zenu,
Mkuu, labda nikukumbushe jambo moja tu ya kwamba, hakuna interview ya siku moja inayoweza kukupa mfanyakazi bora, na hata CIA wanalijua hilo ndio maana wanafanya screening ya muda mrefu...
Nawajua miyeyusho mingiNa hapa ndo kwenye mzizi wa fitina mkuu waajiri wengi wamejificha kwenye kuwa nanga wenye degree kumbe chini ya meza nafasi hizo Wana watu wao mfukoni au mwajiri Elimu ya kuunga unga hawezi ruhusu akili kubwa
For E-commerce & database designing skills, ndio maana mnafundishwa Tally ukiacha Ms Excellwakati ninasoma IAA watu wa computer science walilazimishwa kusomea accountancy semister ya kwanza, what for?
Usiwale wanafunzi hukoKwa kwel kuna baadhi ya kazi hapa dunian kwa uwezo wangu tu ambao huwa najiona nao,nilijiona sitaziweza nikaamua nikawe Mwalimu tu
Akili za kuweka vitu kichwan ninazo ila inshu za kuvifanyia kazi hivyo vitu hapo ndo changamoto ndo maana nikaamua kuingia taaluma nyepesi
It's a wastage of time. Kama unaandaa mtaalam wa computer mfundishe aijue computer nje ndani na kama unaandaa mhasibu mfunze aujue uhasibu nje ndani na sio computer scientist unamjaza upuuzi wa debit na credit.For E-commerce & database designing skills, ndio maana mnafundishwa Tally ukiacha Ms Excell
Hakika mkuu. System overhaul kubwa sana inahitajika.Mfano kwenye written interview ukipata chini ya pass mark inakuaje??
Yani mifumo yetu ya shule inabidi aangaliwe upya
Mkianza kudhalauliwa lawama mnazipeleka kwa walimu, useless kabisa wanaenda na dunia inavyotaka sio nyinyi mnavyotaka hii mitaala inafuata utaratibu wa Kimataifa sio utaratibu wa kwenu Kibondemaji,Kama unaandaa mtaalam wa computer mfundishe aijue computer nje ndani na kama unaandaa mhasibu mfunze aujue uhasibu nje ndani na sio computer scientist unamjaza upuuzi wa debit na credit...
Ni kweli usemalo mzee,Aise hali sio poa kabisa.
Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto...
Aise hali sio poa kabisa.
Sijui sasa hivi huko vyuoni wanawafundisha nini hawa watoto...
Kwa hiyo, kila jambo dunia ikitaka na wewe unaenda tu? Western Counties wanataka wanaume waoane na wewe unakubali tu? Mitaala ya first world countries unaileta third world huku ambapo hata kujenga vyoo vya shule vya kutosha imetushinda, are you serious?Mkianza kudhalauliwa lawama mnazipeleka kwa walimu, useless kabisa wanaenda na dunia inavyotaka sio nyinyi mnavyotaka hii mitaala inafuata utaratibu wa Kimataifa sio utaratibu wa kwenu Kibondemaji,
True..Mimi ninaaamini Uwezo wa mtu hasa ni ule umetoka nao msingi na secondary.