MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
We mpumbavu maandamano ya amani ndo yakoje hayo?Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.
Kwenye maandamano ya wiki iliyopita yalikuwa ya amani dakika za mwanzo lakini kadiri muda ulivyoenda yakageuka na kuwa uhalifu. Waandamanaji wakaanza kuharibu miundombinu na kuchoma mali za watu binafsi na umma. Ulikuwa uhalifu wa kutisha. Kwenye uhalifu lazima dola ichukue hatua dhidi ya wahalifu. Hatua zinazochukuliwa huendana na uzito wa uhalifu. Mwizi wa kuku hawezi kutendewa sawa na aliyeshika kidumu cha petroli na kuanza kuchoma kituo cha mafuta. Huyu wa kidumu cha petroli lazima atakutana na nguvu kubwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa kuonana na mizimu ya kwao.
Binafsi ninawalaumu wanaharakati Mange, Maria, Lord Denning na Sativa kwa kuhamasisha uhalifu. Hawa watu wanne kabla na wakati wa maandamano walitumia muda mwingi sana kuhamasisha uhalifu. Damu zilizomwagika zitawalilia maisha yao yote.
Keyboard warrior detectedWe mpumbavu maandamano ya amani ndo yakoje hayo?
Hayo unayoyataka kafanye wewe mumeo na watoto wako.
Yani uwaanyie maandamano ya amani watu waliotayari kuua ili wasalie madarakani!
Watu wanaoteka na kuua wakosoaji wao uwafanyie maandamano ya amani unafikiri watakuskiliza?
Unachekesha sana wewe chawa kimavi wa chama cha wauaji CCM.
Acha kuandika ujinga ujinga wako.Keyboard warrior detected
Kama serikali yenu haiogopi keyboard warriors kwa nini ilifungia mtandao?Keyboard warrior detected
Keyboard warriors nyoko nyoko huku kimama chao mpenda damu za watoto wa wanawake wenzake aliifungia mitandao wiki nzima.Kama serikali yenu haiogopi keyboard warriors kwa nini ilifungia mtandao?
Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.
Kwenye maandamano ya wiki iliyopita yalikuwa ya amani dakika za mwanzo lakini kadiri muda ulivyoenda yakageuka na kuwa uhalifu. Waandamanaji wakaanza kuharibu miundombinu na kuchoma mali za watu binafsi na umma. Ulikuwa uhalifu wa kutisha. Kwenye uhalifu lazima dola ichukue hatua dhidi ya wahalifu. Hatua zinazochukuliwa huendana na uzito wa uhalifu. Mwizi wa kuku hawezi kutendewa sawa na aliyeshika kidumu cha petroli na kuanza kuchoma kituo cha mafuta. Huyu wa kidumu cha petroli lazima atakutana na nguvu kubwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa kuonana na mizimu ya kwao.
Binafsi ninawalaumu wanaharakati Mange, Maria, Lord Denning na Sativa kwa kuhamasisha uhalifu. Hawa watu wanne kabla na wakati wa maandamano walitumia muda mwingi sana kuhamasisha uhalifu. Damu zilizomwagika zitawalilia maisha yao yote.
Huyo home kwao bado wanasumbuliwa na fisi. Sijui kama hata anajua jinsi nchi inavyoenda.We mpumbavu maandamano ya amani ndo yakoje hayo?
Hayo unayoyataka kafanye wewe mumeo na watoto wako.
Yani uwaanyie maandamano ya amani watu waliotayari kuua ili wasalie madarakani!
Watu wanaoteka na kuua wakosoaji wao uwafanyie maandamano ya amani unafikiri watakuskiliza?
Unachekesha sana wewe chawa kimavi wa chama cha wauaji CCM.
Tanzania maandamano ya amani ni yale yanayounga mkono serekali, kinyume na hapo hayataruhusiwa. Serekali ikistaarabika kufikia kiwango cha kukubali kuwa si raia wote inao waongoza wanakubaliana na kila inalolifanya. Ruhusu watu watoe hisia zao.We mpumbavu maandamano ya amani ndo yakoje hayo?
Hayo unayoyataka kafanye wewe mumeo na watoto wako.
Yani uwaanyie maandamano ya amani watu waliotayari kuua ili wasalie madarakani!
Watu wanaoteka na kuua wakosoaji wao uwafanyie maandamano ya amani unafikiri watakuskiliza?
Unachekesha sana wewe chawa kimavi wa chama cha wauaji CCM.
LORD DENNING KWANI NDIO NANI?Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.
Kwenye maandamano ya wiki iliyopita yalikuwa ya amani dakika za mwanzo lakini kadiri muda ulivyoenda yakageuka na kuwa uhalifu. Waandamanaji wakaanza kuharibu miundombinu na kuchoma mali za watu binafsi na umma. Ulikuwa uhalifu wa kutisha. Kwenye uhalifu lazima dola ichukue hatua dhidi ya wahalifu. Hatua zinazochukuliwa huendana na uzito wa uhalifu. Mwizi wa kuku hawezi kutendewa sawa na aliyeshika kidumu cha petroli na kuanza kuchoma kituo cha mafuta. Huyu wa kidumu cha petroli lazima atakutana na nguvu kubwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa kuonana na mizimu ya kwao.
Binafsi ninawalaumu wanaharakati Mange, Maria, Lord Denning na Sativa kwa kuhamasisha uhalifu. Hawa watu wanne kabla na wakati wa maandamano walitumia muda mwingi sana kuhamasisha uhalifu. Damu zilizomwagika zitawalilia maisha yao yote.
LORD DENNING KWANI NDIO NANI?