Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

Kabla haujawataka walioitisha maandamano ungekuwa na akili timamu ungehoji kwanza wale wanaoandamaniwa, KWANINI WAFANYE UCHAGUZI BATILI? Kwanini WAMETEKA NA KUANGAMIZA MAMIA YA RAIA? KWANINI WAMEKATAA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI? KWANINI WAMEKATAA KUSIKILIZA SAUTI ZA WANANCHI?
 
Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.

Kwenye maandamano ya wiki iliyopita yalikuwa ya amani dakika za mwanzo lakini kadiri muda ulivyoenda yakageuka na kuwa uhalifu. Waandamanaji wakaanza kuharibu miundombinu na kuchoma mali za watu binafsi na umma. Ulikuwa uhalifu wa kutisha. Kwenye uhalifu lazima dola ichukue hatua dhidi ya wahalifu. Hatua zinazochukuliwa huendana na uzito wa uhalifu. Mwizi wa kuku hawezi kutendewa sawa na aliyeshika kidumu cha petroli na kuanza kuchoma kituo cha mafuta. Huyu wa kidumu cha petroli lazima atakutana na nguvu kubwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa kuonana na mizimu ya kwao.

Binafsi ninawalaumu wanaharakati Mange, Maria, Lord Denning na Sativa kwa kuhamasisha uhalifu. Hawa watu wanne kabla na wakati wa maandamano walitumia muda mwingi sana kuhamasisha uhalifu. Damu zilizomwagika zitawalilia maisha yao yote.

CCM haaminiki milele, hayo maandamano ya amani si yalifanywa huku Zanzibar mkauwa watu kwa helicopter au ulikuwa hujazaliwa ??

View: https://vm.tiktok.com/ZNdw8hmrK/
 
Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.

Kwenye maandamano ya wiki iliyopita yalikuwa ya amani dakika za mwanzo lakini kadiri muda ulivyoenda yakageuka na kuwa uhalifu. Waandamanaji wakaanza kuharibu miundombinu na kuchoma mali za watu binafsi na umma. Ulikuwa uhalifu wa kutisha. Kwenye uhalifu lazima dola ichukue hatua dhidi ya wahalifu. Hatua zinazochukuliwa huendana na uzito wa uhalifu. Mwizi wa kuku hawezi kutendewa sawa na aliyeshika kidumu cha petroli na kuanza kuchoma kituo cha mafuta. Huyu wa kidumu cha petroli lazima atakutana na nguvu kubwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa kuonana na mizimu ya kwao.

Binafsi ninawalaumu wanaharakati Mange, Maria, Lord Denning na Sativa kwa kuhamasisha uhalifu. Hawa watu wanne kabla na wakati wa maandamano walitumia muda mwingi sana kuhamasisha uhalifu. Damu zilizomwagika zitawalilia maisha yao yote.
Hilo kwa polis wa Tanzania haliwekan ndio sababu waliokufa wengi sio waandamanaji.
Mwanza bila jeshi la wananchi tungeshuhudia vifo vingi sana.
 
Labda nikupe mimba kiherehere kiishe dada
Kwani mashoga nao mnaweza kutia mimba wanawake.

Mi nnachojua mashoga mnachoweza ni kubinua vijambio ili msokomezwe uboo na marijali.
 
Back
Top Bottom