Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Hasira haikuchagulii ufanye nn na uache nini
Kuna msichana alikuwa anatoka kazini kwake kauawa nje ya geti wakati anataka kufungua aingie ndani.Kuna watu walikutwa nyumbani kibarazani kwao wamekaa wakauawa.
Kuna watu walikutwa wanaangalia mpira ndani ya nyumba wakauawa.
Kuna askari magereza (hakuwa amevaa sare za kazi) alikutwa nyumbani kwao (alienda kuangalia mgonjwa) akauawa.
Kuna mdada alikutwa anaanika nguo nyumbani kwake akauawa, nk, nk..
Mauaji mengi yalikuwa holela, bila sababu za msingi za kuuwa binadamu!!
Ayo hamasisha weweLengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote.
Kwenye maandamano ya wiki iliyopita yalikuwa ya amani dakika za mwanzo lakini kadiri muda ulivyoenda yakageuka na kuwa uhalifu. Waandamanaji wakaanza kuharibu miundombinu na kuchoma mali za watu binafsi na umma. Ulikuwa uhalifu wa kutisha. Kwenye uhalifu lazima dola ichukue hatua dhidi ya wahalifu. Hatua zinazochukuliwa huendana na uzito wa uhalifu. Mwizi wa kuku hawezi kutendewa sawa na aliyeshika kidumu cha petroli na kuanza kuchoma kituo cha mafuta. Huyu wa kidumu cha petroli lazima atakutana na nguvu kubwa dhidi yake ikiwemo kupelekwa kuonana na mizimu ya kwao.
Binafsi ninawalaumu wanaharakati Mange, Maria, Lord Denning na Sativa kwa kuhamasisha uhalifu. Hawa watu wanne kabla na wakati wa maandamano walitumia muda mwingi sana kuhamasisha uhalifu. Damu zilizomwagika zitawalilia maisha yao yote.
Tena makalio yake huyu shetaniPumbavu kabisa mleta mada!
Kinyesi chake huyu mjingaUnaua raia wako kisa madaraka!!
Madaraka ukifa si unayaacha hapa duniani!!
Hakuna tofauti kati ya Samia na shetani .
Mbona hukuandamana?Kinyesi chake huyu mjinga
Naachaje kwa mfano?Mbona hukuandamana?
Nilitoka kutiki tu.Ujue mtu anaropoka maandamano ya amani wakati siku yenyewe ya tukio alijifungia ndani hakuona kilichoendelea , ungetoka ungeujua ukweli
"Naachaje kwa mfano?".... umejibu kike sana kama Slayqueen wa Buza.Naachaje kwa mfano?
UWT hamna akili nyie"Naachaje kwa mfano?".... umejibu kike sana kama Slayqueen wa Buza.
Wajinga kama nyie ndo mtaprolong haya matatizo kwa sababu wataacha kushughulika na kiini cha yote haya ambayo ni ufisadi,utekaji,uongozi mbovu, matumizi mabaya ya rasilimali za uma Nk.kuanzia sasa hivi nakutaka uhubiri kuhusu kiini cha yote haya.Washitakiwe kwa kuchochea vurugu, wizi, uporaji,uvunjifu wa amani, mauaji n.k
Acha kushupaza shingo mtakwisha kenge nyieWe mpumbavu maandamano ya amani ndo yakoje hayo?
Hayo unayoyataka kafanye wewe mumeo na watoto wako.
Yani uwaanyie maandamano ya amani watu waliotayari kuua ili wasalie madarakani!
Watu wanaoteka na kuua wakosoaji wao uwafanyie maandamano ya amani unafikiri watakuskiliza?
Unachekesha sana wewe chawa kimavi wa chama cha wauaji CCM.
Wakati jeshi linaanzishwa lengo hamkulijua na je wanapoapa wanaapa juu ya nini kumtii nani raia au viongozi wao??Unaua raia wako kisa madaraka!!
Madaraka ukifa si unayaacha hapa duniani!!
Hakuna tofauti kati ya Samia na shetani .
Mliwahi kuomba kibari cha maandamano ya amani mkanyimwa na je mliponyimwa kibari mlifika mahakamani kudai haki ya kuandamana?Tanzania maandamano ya amani ni yale yanayounga mkono serekali, kinyume na hapo hayataruhusiwa. Serekali ikistaarabika kufikia kiwango cha kukubali kuwa si raia wote inao waongoza wanakubaliana na kila inalolifanya. Ruhusu watu watoe hisia zao.
Polisi ndiyo walichoma na kuharibu biashara za watu?dah sema ndugu yangu
laiti kama ungekuepo siku ya maandaman ungejionea polisi ndo walikua wanaleta machafuko