Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

Kuna msichana alikuwa anatoka kazini kwake kauawa nje ya geti wakati anataka kufungua aingie ndani.
Kuna kijana kauawa akiwa anacheza draft kibarazani.
Samia ni vampire mwenye kiu ya damu.
 
Ayo hamasisha wewe
 
Wewe na mumeo mbona mlihamasisha wizi wa kura na kupora haki za watanzania au nyie ni sahihi kuiba mali za umma?
 
Ujue mtu anaropoka maandamano ya amani wakati siku yenyewe ya tukio alijifungia ndani hakuona kilichoendelea , ungetoka ungeujua ukweli
 
Washitakiwe kwa kuchochea vurugu, wizi, uporaji,uvunjifu wa amani, mauaji n.k
Wajinga kama nyie ndo mtaprolong haya matatizo kwa sababu wataacha kushughulika na kiini cha yote haya ambayo ni ufisadi,utekaji,uongozi mbovu, matumizi mabaya ya rasilimali za uma Nk.kuanzia sasa hivi nakutaka uhubiri kuhusu kiini cha yote haya.
 
Acha kushupaza shingo mtakwisha kenge nyie
 
Unaua raia wako kisa madaraka!!
Madaraka ukifa si unayaacha hapa duniani!!
Hakuna tofauti kati ya Samia na shetani .
Wakati jeshi linaanzishwa lengo hamkulijua na je wanapoapa wanaapa juu ya nini kumtii nani raia au viongozi wao??
 
Tanzania maandamano ya amani ni yale yanayounga mkono serekali, kinyume na hapo hayataruhusiwa. Serekali ikistaarabika kufikia kiwango cha kukubali kuwa si raia wote inao waongoza wanakubaliana na kila inalolifanya. Ruhusu watu watoe hisia zao.
Mliwahi kuomba kibari cha maandamano ya amani mkanyimwa na je mliponyimwa kibari mlifika mahakamani kudai haki ya kuandamana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…