Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

Mliwahi kuomba kibari cha maandamano ya amani mkanyimwa na je mliponyimwa kibari mlifika mahakamani kudai haki ya kuandamana?
Wewe ni mgeni hapa nchini?.
Rejea kifo cha Acquelina akiwa kwenye daladala, kauli ya polisi ya kipigo cha mbwa koko,........
 
Maelekezo ya Wadhamini wao ndiyo yalitaka yafanyike hayo yaliyotokea.
 
Wewe ni mgeni hapa nchini?.
Rejea kifo cha Acquelina akiwa kwenye daladala, kauli ya polisi ya kipigo cha mbwa koko,........
Kwani polisi walitoka tu huko na kuanza kufyatua risasi ovyo kama vichaa si kulikuwa na fujo na vurugu nyuma yake?walikuwa na vibari au amri ya mahkama yoyote ilitolewa baada ya kukataliwa vibari??
 
Kwani polisi walitoka tu huko na kuanza kufyatua risasi ovyo kama vichaa si kulikuwa na fujo na vurugu nyuma yake?walikuwa na vibari au amri ya mahkama yoyote ilitolewa baada ya kukataliwa vibari??
Narudia, wewe ni mgeni hapa nchini
 
Vyovyote vile bado hailalishi kuua watu kwa kaisi ichi , nchi ipo kwenye uzuni wewe unaleta unaleta upumbavu apa
 
Labda hawajawahi kutumia silaha zao popote ndio hiyo siku waliona watufanyie majaribio ni kama wanaangalia sana movie za kuua 😰
 
Ma'simp huwa hayana akili hata kidogo,yapo tayari kuweka rehani chochote ili tu kuprove kuwa ni majinga na hayana akili.

Wewe MamaSamia2025 ni pure simp. Tazama ulivyo mjinga na mkosa akili.
 
Ujinga ni mwingi sana Tanzania, Ila Damu ya wapigania haki haitaenda Bure, hakika MUNGU atatenda jambo na wazushi wote watashangaa.
 
Police walianza kuua ndiyo waandamanaji wakachukia, yale ni maandamano ya amani....Kwani police wangeyalinda nani angefanya fujo? Hata hivyo tumechoka na huu wizi wa kura wa CCM, kwani kusingekuwa na wizi wa kura na Samia kuheshimu kura za watanzania nani angeandamana? Acha ujinga wewe tatizo ni lenu ninyi wapumbavu.
 
Kuna namna nakuunga mkono hii ya kuharibu miundombinu siiungi mkono lakini sasa askari wamefanya ukatili sana, kupiga mtu chuma ya tumbo, ya kichwa. Kuvamia watu makwao kupiga chuma, wale wa banda la mpirq, haipendezi na wametukoseq sana watanzania.

Kuhusu kuharibu mali za watu, target ilikuwa mali za mafisadi na wale wanaounga mkono mafisadi.
Kingine kwenye msafara wa mamba kenge wamo, hawawezi kukosekana vibaka na wajanjq wajanja lakini hii haiondoi lengo kuu kwamba watu hawamtaki samia
 
Walioharibiwa mali zao kwa asilimia kubwa niwanufaika wa mfumo mkuu
Wachache ndio kwabahati mbaya athari imewakumba
 
Wengine wengi inasemekana "uhalifu" uliwafuata mtaani mpaka majumbani mwao. Na walikuwa machawa promax kuliko hata wewe. Sad!

View attachment 3497114
Huyu jamaa nimefurahi alivyotandikwa risasi na nna uhakika waliomfyatua walimjua 😹😹😹
Kuna polisi walitaka kuweka usawa kwamba hata msioandamana lazima mpewe chuma..!!
 
Utaacha kuuwawa kwa mtindo huu yani ushajiandaa kwenda kuiba magodoro mkuu
 
Mliwahi kuomba kibari cha maandamano ya amani mkanyimwa na je mliponyimwa kibari mlifika mahakamani kudai haki ya kuandamana?
ila unatia aibu , lin wametoa kibali cha maandamano dhidi ya makosa ya serikali ? lin mahakama imekaa upande wa raia hasa pale wakosaji ni serikali ?
 
Maandamano kama yale bila kuwa na escort ya wanajeshi ni rahisi magaidi kujipenyeza na kuanza kufanya yao. Labda maandamano ya kupongeza na karamu za chama tawala na serikali yake hapo wahalifu hudhibitiwa mapema
 
Utaacha kuuwawa kwa mtindo huu yani ushajiandaa kwenda kuiba magodoro mkuu
Huna akili wewe.

Mimi kuiba godorounaona kitu kibaya.

Ila mafisadi kina Lugumi,Kiziga,Mwigulu na wengineo kuiba pesa zetu unaona kawaida tu.

Unafki na uoga ni kitu kibaya sana.
 
Huna akili wewe.

Mimi kuiba godorounaona kitu kibaya.

Ila mafisadi kina Lugumi,Kiziga,Mwigulu na wengineo kuiba pesa zetu unaona kawaida tu.

Unafki na uoga ni kitu kibaya sana.
Kaka watakuua jua hilo na mshukuru mungu kuzaliwa mwanamke vinginevyo ungekua ushachomwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…