Wanaharakati Nchini Ivory Coast walaani Mswada wa Kuruhusu Wanaume kuoa wake wengi

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo.

Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu ikichukulia mila hiyo kuwa ya kibaguzi dhidi ya Wanawake.

Aidha, Mswada huo unasubiri kupitiwa na Mahakama ya Kikatiba kabla ya kupigiwa kura bungeni.

.............................................

Women's rights activists in Ivory Coast have expressed anger over a proposed bill that would legalise polygamy for men, calling it a step backwards in the fight for equality.

Polygamy was outlawed in Ivory Coast in 1964.

It's prohibited in many parts of the world but remains widespread in West African countries.

Rights groups say Ivorian women face systemic inequalities and discrimination.

The United Nations Commission on Human Rights considers the practice discriminatory against women and has called for its eradication.

The bill has to be reviewed by the Constitutional Court before it it can be put to a vote in parliament.

SOURCE: BBC
 
... labda wanawake wa kikristo ndio watapinga huo mswada. Haitegemewi wale wengine including wa ndoa za jadi waupinge kwa sababu unawapendelea; unawapa nafasi kubwa ya kuolewa.
 
Wanaharakati wa Haki za Wanawake wamesema Mswada unaopendekezwa wa kuhalalisha na kurejesha tena ndoa ya wake wengi kwa Wanaume, ni kurudisha nyuma jitihada za vita vya usawa wa kijinsia Nchini humo.

Ndoa za wake wengi zilipigwa marufuku nchini humo mnamo 1964 huku Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu ikichukulia mila hiyo kuwa ya kibaguzi dhidi ya Wanawake.

Aidha, Mswada huo unasubiri kupitiwa na Mahakama ya Kikatiba kabla ya kupigiwa kura bungeni.

.............................................

Women's rights activists in Ivory Coast have expressed anger over a proposed bill that would legalise polygamy for men, calling it a step backwards in the fight for equality.

Polygamy was outlawed in Ivory Coast in 1964.

It's prohibited in many parts of the world but remains widespread in West African countries.

Rights groups say Ivorian women face systemic inequalities and discrimination.

The United Nations Commission on Human Rights considers the practice discriminatory against women and has called for its eradication.

The bill has to be reviewed by the Constitutional Court before it it can be put to a vote in parliament.

SOURCE: BBC
Muda sasa wa kuhamia ivory coast.
Kozi za kujifunza kifaransa zinatolewa wapi hapa bongo?
 
Naomba nikusaidie kupaziba...
😳🤔Utaenda chokoza muwasho wewe, 🙌 Niache kuwaza mkwanja kulea machalii,nianze kuwaza kupata mkwanja wa kukwea pia nikakunwe bongo Kila weekend....adhabu zingine za kujitakia tu😜
 
Hahaha... Muwasha wako nitakuachia mwenyewe...
 
Back
Top Bottom