dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Adam na Eva ndio binadamu wa kwanza duniani; wao tu. Kama Adam alikuwa na wake wawili in addition to Eva, impliedly huyo wa pili alikuwa bintiye. Simple logic madam.Hajasema alioa binti yake,kasema wake wawili ...ambapo napo inatakiwa atufafanulie pia