Wanaharakati wakae mbali na taarifa za vifo vya viongozi vinahawaribia reputation.

Ndiyo maana mimi nasemaga baadhi ya wanaharakati kwenye hii nchi wanafanya wanaharakati wote waonekane uchwara ,hata humu JF wamejaa mno na utawaona watakuja kukupinga.

Mwanaharakati unatakiwa uwe smart with logical reasoning ,kuchuja na kucomfirm taarifa
 
Kuna huyo mmoja hapa JF hua nasema angekuja kule jamii intelligence tushushe nyuzi huku Siasani anapuyanga pakubwa ukisema hivi unaitwa chawa
 
Kuna kitu hukijui kwenye haya mambo
Na wewe ni mmojawapo madam
 
mafwele yupo kazini anakaimu kanda tu. 😁
story za anayejiita kaka yake polepole sasahivi haziwezi uzika
Wewe tena πŸ˜…
Hua nakuona unataka kusaliti kile chama chetu cha haki bila kusimama upande naona bega moja hua linashuka nakuangalia nasema hiiiiiii (magu voice )
 
Rumors za vifo za viongozi wakati mwingine huwa zinazushwa ili kuona how power vacuum inaweza kuleta athari zipi na watu gani wa kuangalia.

Wakati mwingine zinatengenezwa kufanya watu fulani watatakane.

Mfano Samia akifa kesho, Wafuasi wa Nchimbi watafanya nini au wanaungana na nani kulishinda kundi la Samia.

Ukiona taarifa ya kifo cha kiongozi inaenea sana ujue ni kazi ya kijasusi ambayo chanzo ni ndani au nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…