Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Mnachekesha sanaa asee sosi mnazoziita nyie zakuaminika ndio zilikanusha awali yakwamba hakukua na majeruhi... una haki ya kuongea chochote Mkuu; otherwise weka trusted source.
Tutaona MENGI Sana MKUU Nakusia MENGI Pia Ila Kiufupi Jamaa wamekufa Kama KUMBI KUMBI.....Mwanzoni walisema hiyo kambi haikuwa na wanajeshi wa USA kabisa walishahama. Hao waliojeruhiwa wametoka wapi tena?
Kwahio waliuwawa hawajauwawa ?!Kuna watu hawamjui Us vizuri, hii taarifa inayopikwa huenda wanatafuta uhalali wa kummaliza Iran.
Watashangaa Trumph anatengeneza sababu za kushambulia vibaya zaidi, na kimya hiki wanachagua sehemu ambayo wakirusha kombora liwavunje uti wao wa mgongo...yetu macho na masikio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Mwanzo Si Mulisema Kama KAMBI Zilihamwa ?!Tatizo umekomaa na neno majeruhi majeruhi kwa tafsiri ya majeruhi unayoielewa wewe. Umeambiwa "majeraha" waliyopata hawa ni dalili (symptoms) za "concussion"; narudia tena DALILI. Sasa wewe ulitegemea "concussion symptoms" zionekane siku ileile? Ni tatizo linalo-develop taratibu! Ok, basi tuipe ushindi Iran tumalize ubishi.
Halaf wao ndio wanajiita eti watetezi wa hakki za bina adamu kumbaf zao [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Lakini kuna shida mahala hasa huko USA haiwezekani mkuu wa nchi aseme hakuna majeruhi wa vifo lakini baadae waseme kuna majeruhi je, ni matukio manapi hayajasemwa?
Wamekula kipigo kitakatifu na ipo siku watausema ukweli halisiWanajeshi wa marekani ni dhaifu sana. Mtu anapata concussion anapandishwa ndege
USA kawasababishia concussion raia wangapi huko middle east Kwa mabomu anayodondosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli JUNDE Kwani mwanzo si walitangaza hakuna hata majeruhi au Upo dunia gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajeshi wa marekani ni dhaifu sana. Mtu anapata concussion anapandishwa ndege
USA kawasababishia concussion raia wangapi huko middle east Kwa mabomu anayodondosha
Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAAAA DAH SERIKALI INAKIRI UNASHINDA NAYOO AISEE WE N NOMAA