Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Hehehe
Osama alivyolipua ubalozi wa marekani kwa bomu dogo tu la kwenye gari Dar Nzima ilitikisika, sembuse Ballistic missile zaidi ya 10 zitue sehemu halafu asife mtu hata mmoja kwa mshtuko?
US Wanawafanya Watu Wapuuzi Sana Na Wanaofanywa Wapuuzi wanadhihirisha upuuzi wao


Haiwezekani Kambi Ipigwe Asife Mtu Asee Nihaiwezekaniki.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US Wawatafte wakuwadanganya Ila Sio Mimi Binafsi Hawanipati

Maana Mwanzo walisema Kama Hawapo Baadae Wakasema Walipewa Taarifa

Leo wanasema kama kuna walojeruhiwa

Kiufupi nlipo anza kusikia tu kama walipigwa kambi zao nikaona kama jamaa hawana maajabu kama wanayo tuaminisha

Baaadae wakaja na scenario kwamba walipewa taarifa utake kushambuliwa upewe taarifa itakua vita ama itakua upuuzi
Haya ni majeruhi ya kuweweseka, lakini mlisema waliondoka ko hayo majeruhi wameyapata wapi, tunashindwa kuamini huenda hata hao siyo kuweweseka bali majeruhi wa vidonda kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiufupi US hawakutarajia kama IRAN Angewapa kipigo walichokipokea Nasijaelewa Kwa nn Wanauficha Ukweli

Ila Kiukwel Inaonekanika Wamekufa Kama KUMBI KUMBI....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 

Attachments

  • Screenshot_20200117-192558.png
    62.1 KB · Views: 1

11 U.S. troops injured in Jan. 8 Iran missile strike

A total of 11 US troops have been medically evacuated to US military hospitals in Kuwait and Germany to be treated for traumatic brain injury
Aisee...🤔🤔🤔
 
Duh! kwa jinsi maayatollah wa Kimanzichana walivyovamia huu uzi angekufa hata koplo mmoja wa kimarekani wallahi ingebidi tukimbie hili jukwaa forever
Dah! JF raha sana...😊😊😊
 
Hivi siku ngapi zimepita.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Concussion symptoms " hata wewe ukipimwa unayo na visababishi ni vingi. Kama hayo ndio matokeo ya kuifanya Iran ishangilie kutimiza lengo; kama hayo ndio matokeo bora kabisa ya jeshi la Iran sawa.
Kinachozungumzwa hapa ni kwamba kuna vitu Us anaficha. Me sijui umekwama wapi kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa ya mwanzo ilikuwaje?

Hivi unakumbuka wakati Japan amezamisha Meli ya US iliyokuwa na Sailors 900 marekani alitoa taarifa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba wewe ni mgeni na marekani? Kama ilizamishwa meli yake iliyokuwa na sailors zaidi ya 1200 then watu wakaambiwa kwamba hakuna chochote kilichotokea wakati walikufa wanajeshi zaidi ya 900. Halafu week 2 baadae ndio yakatokea yale ya Hiroshima na Nagasaki.
Tafasiri rahisi ya hiyo defn ni "kuweweseka"; in short wanajeshi 11 wa Marekani wameonesha dalili (symptoms) za kuweweseka baada ya ile milipuko halafu watu humu wanashangilia ushindi wa Iran! Ha ha ha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamepataje majeraha wakati tuliambiwa kambi hazikuwa na wanajeshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waandishi wa habari walizuiwa wasiingie Ile base kwa wiki nzima. Unazani walikua wanaficja Nini kama sio maiti hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When Trump was "trumping" his lies the other day, he categorically denied! Trump the liar,Trump the crook.
 
Acha uchizi wewe unafkiri concusion sio jeraha. Concusion ni traumatic brain injury. Yaani lazima bichwa igongwe na kitu kutoka nje ndo update concusion.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…