Muulize mpiganaji yyte aliye kuwa ktk kikosi kilichoelekea Lukaya na kikapigana huko atakusimulia,Hawakuwa wanajeshi waliopata mafunzo,waliopelekwa kwanza,walikuwa wanamgambo na wananchi waliopewa crush program ya mapambano,kwa muda mfupi,ndio wakapelekwa mstari wa mbele,ungekuwa msomaji mzuri wa historia,hili jambo limeelezwa vzr kwenye filamu ya vita ya Kagera,mpaka majarida mbalimbali yanayopatikana hata kwenye maktaba ya Taifa,mimi nalifahamu hili tangu mwaka 1996,
Usishinde kwenye whatsaap tu,kasome vitabu,
Kwani risasi huwa zinaogopa kuua watu wakiwa wengi?Mambo ya jeshi waachieni wanajeshi,,,, simulizi ndio nini hasa,,,,,, yaani wanajeshi 2000 ni zaidi ya battalion mbili,,,, unajua chochote wewe?
Wachina walitusaidia sanaHuyo babu ni mzushi eti bila Tanzania kusaidiwa wasingemuweza Idd Amin. Huyu jamaa lazima atakuwa lofa tu.
Wajinga hao mkuuWatu 2000 wana wa nchi waliuawa kikatili na jeshi la Uganda kwa msaada wa Gaddafi.
Halafu leo watu wanamsifia Gaddafi eti mzalendo, kiongozi bora wa Africa.
Inatia kichefuchefu.
Hakuna snema halisi 100%Umefichwa na nani? au wewe ni Mento? inamaana ulifichwa na baba yako au nani haswa maana vita ya Uganga hadi sinema halisi zilihusika.. Waliofyekwa walikuwa ni Jeshi la Mgambo na hii ipo wazi kabisa ukisoma habari za vita ya uganda sasa unaleta takwimu zako za kipumbavu pumbavu ati ulifichwa au hujawahi sikia hata sikukuu ya Mashujaa waliopoteza uhai wao katika Vita hiyo ya Kagera? Kwa Taarifa yako waliuwawa na Wanajeshi wa Palestina waliokuja kumtetea Amin Ndio maana Siwapendi Wapalestina natamani wafutwe kabisa Duniani. Wana bahat sana Nyerere aliwasamehe
Sasa niulize wewe umeipataje basi hio ya 2000?
Sawa nitamuuliza.Kamuulize aliyesema hiyo 2000
Ulikuwepo? Wakati vita inakoma tulipewa takwimu ya wanajeshi mia tatu tu. Wengi wapo pale kaboya, na wwngine walifariki kwa ajali wapo pale mutukula.Habari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha wanajeshi 2000 mstari wa mbele na chote kilifyekwa na majeshi ya Amin.
Baada ya hapo jeshi letu lilijipanga upya na kusonga mbele hadi Kampala na Jinja ambapo Idd Amin alitimkia Libya na baadae Saudi Arabia.
Hii historia sijiwahi kuisikia, nilijua tulipigana bila upinzani mkali na hatukupoteza askari wengi kiasi hiki kwa mpigo mmoja.
Msimuliaji pia anadai jeshi la Uganda lilikuwa limegawanyika sana kwani baadhi hawakumtaka Amin aendelee kuongoza Uganda na hivyo kulisaidia jeshi letu lililojipanga upya kushinda vita hivyo.
Viva JWTZ.
Yeah!!Kwa maana hiyo hata hapo kongo tumepoteza vijana wengi kuliko idadi tajwa
AISEEE KUMBE KUNA MENGI WANAFICHA KUHUSU VITA HII???!!!INAWEZEKANA HATA USHINDI HAUKUWA WA KISHINDO KAMA TUNAVYOAMINISHWA
Sasa ina maana miili yao haipewi heshima yeyote? Na ndugu wa marehemu hawaambiwiYeah!!
Watu 2000 wana wa nchi waliuawa kikatili na jeshi la Uganda kwa msaada wa Gaddafi.
Halafu leo watu wanamsifia Gaddafi eti mzalendo, kiongozi bora wa Africa.
Inatia kichefuchefu.
hizi ndio tunaita propaganda.
NdioAISEEE KUMBE KUNA MENGI WANAFICHA KUHUSU VITA HII???!!!INAWEZEKANA HATA USHINDI HAUKUWA WA KISHINDO KAMA TUNAVYOAMINISHWA
Habari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha wanajeshi 2000 mstari wa mbele na chote kilifyekwa na majeshi ya Amin.
Baada ya hapo jeshi letu lilijipanga upya na kusonga mbele hadi Kampala na Jinja ambapo Idd Amin alitimkia Libya na baadae Saudi Arabia.
Hii historia sijiwahi kuisikia, nilijua tulipigana bila upinzani mkali na hatukupoteza askari wengi kiasi hiki kwa mpigo mmoja.
Msimuliaji pia anadai jeshi la Uganda lilikuwa limegawanyika sana kwani baadhi hawakumtaka Amin aendelee kuongoza Uganda na hivyo kulisaidia jeshi letu lililojipanga upya kushinda vita hivyo.
Viva JWTZ.
Wewe Mtanzania?Kwani Tanzania hawakusaidiwa? kwenye vita kila mtu atamsapoti wake wakaribu wanaofahamiana kwa muda ule. Mbona nyie mumewau waganda tele kwaio wao wasikupendeni pia? wasitake mashirikiano yoyote na nyie?