Unajua jinsi Gaddafi alivyoua wananchi wake mwenyewe?Hamna mtu asiyefanya makosa na hivyo hata Gadaffi alikuwa na makosa yake. katika kumtathmini kiongozi lazma ulinganishe mazuri na mabaya yake na kwa kuzingatia hilo hamna kiongozi kama Gadaffi barani Afrika na itachukua muda mrefu kupata kiongozi kama Gadaffi. he's the true African hero
Naungana na ww mkuu.. Nimewahi kukisoma kitabu cha siri cha vita ya Uganda... Kilikuwa kimeandikwa kwa lugha ya tarakimu... Mfano Neno kama basi liliandikwa 52III2 ...aisee kile kitabu hakijaficha kitu chochote, wameelezea jinsi tulivyopigwa pale mpkani.. Tulipoteza mgambo na waalimu wa shule za msingi zaidi ya 2000 , maana walipewa mafunzo ya wk 3 tu... Migambo na waalimu ndo walitangulizwa mstari wa mbele... Mwalimu nyerere ile Vita alilazimishwa na makamanda waliokuwa ktk hvyo vikosi uchwara vya waalimu na migambo.. Baada ya kusaini nyerere akaenda kutangazia hiyo Vita ktk mji wa songea.. Aisee anayebisha acha abishe tu lkn tulipigwa mnoo japo baada ya hapo tulijitahidi kwa msaada wa bomu stera lililofumua mlima ambao ulikuwa machinjio ya wanajeshi wetu... Baada ya kuufumua ule mlima ndo tukapata nafuu ya kusonga mbele... Watu hawajiulizi kwnn mtangazaji Ben kiko alirudishwa dar, alikuwa anatangaza kana kwamba anatangaza mpira wa simba na yanga... Bomu la stera tulisaidiwa na wachina.. Lile Bomu liligeuza mlima na kuwa tambalale askari wengi wa Idd amin waliishia pale... Na kingine akina mseven walitusaidia sana kutuonyesha sehemu muhimu za kupiga... Ukisoma kile kitabu ndo utajua jinsi gani vita ilikuwa ngumu kwetu.. Tulikuwa na vifaru vya minyororo wakat Amin yy alikuwa na vifaru vyenye matairi na vina speed kubwa kuliko vyetu... Tulipoteza wanajeshi wengi mnoo kwa umalaya pia... Wanajeshi wa Uganda waliwatumia wanawake kama chambo kuwaua wanajeshi wetu... Anyway anayebisha kuwa hatukupoteza wanajeshi anahitaji kusamehewa tu maana hajui kituMkuu hata mimi uwa napata ukakasi kuamini aliyosema mwalimu kwamba "tumepoteza vijana 395 na raia wasiopungua 1500" kwa nature ya ile vita watu wengi na askari walipotea, ukiangalia strength ya tanzania kulikuwa na askari "troops" wasiopungua 150'000~250'000, (hapa chukua na UNLA ya Mseveni plus wale askari kutoka Mozambique, China na Cuba) wakt waganda awakuwa na zaidi ya askari 70'000 ukijumlisha na Libya zaidi ya 500, na bado vita ilipiganwa zaidi ya miezi 10 mpk ushindi kupatika
Hapa nahisi yafuatayo......
1. Uenda idadi hii 395 ni idadi ya askari waliokufa vitani na sio idadi ya wale mgambo,JKT,UNLA,polisi na washirika kwani mwanzon zile platoons zaidi ya 10 zilizotaka kuvuka mto kupitia mitumbwi zilimiminiwa mizinga na kupotea kabisa kiasi cha kamanda wake kuondolewa mstari wa mbele na daraja kuvunjwa rasmi
2. Hii vita ilkuwa ngumu kweli kweli kutoka na kupiganwa kipindi cha masika na ile misitu minene na mapoli ya Uganda kiasi cha kupoteza askari wengi sana
3. Vita hii wakati mwingine ulihitajika uzalendo kwan kizana waganda walikuwa mbali kivifaa kuna wakati vita ilichachamaa esp katika utekaji wa mbalala na entebbe kiasi cha askari frontline ku retreat bila mpangilio wengin walkimbia mpk bukoba mjini mpk kupelekea msuguri kuonelea askari wote wavuke daraja kisha livunjwe ili wasipate pa kupitia na kazi ya kujijenga upya kuchukua wiki tatu
5. Uenda kuna stori inafichwa makusudi na kwa mtu ambaye ana ubongo ili ni muhimu zaidi na ufanywa makusudi
Nitajie kiongozi wa Afrika ambaye hajaua mwananchi wake yoyote, tuanzie hapo kwanza.Unajua jinsi Gaddafi alivyoua wananchi wake mwenyewe?
Habari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha wanajeshi 2000 mstari wa mbele na chote kilifyekwa na majeshi ya Amin.
Baada ya hapo jeshi letu lilijipanga upya na kusonga mbele hadi Kampala na Jinja ambapo Idd Amin alitimkia Libya na baadae Saudi Arabia.
Hii historia sijiwahi kuisikia, nilijua tulipigana bila upinzani mkali na hatukupoteza askari wengi kiasi hiki kwa mpigo mmoja.
Msimuliaji pia anadai jeshi la Uganda lilikuwa limegawanyika sana kwani baadhi hawakumtaka Amin aendelee kuongoza Uganda na hivyo kulisaidia jeshi letu lililojipanga upya kushinda vita hivyo.
Viva JWTZ.
Kama viongozi wote wa Afrika wanaua wananchi wao, hiyo ni sababu zaidi ya kukemea kiongozi yeyote wa Afrika anayeua wananchi wake, akiwamo Gaddafi.Nitajie kiongozi wa Afrika ambaye hajaua mwananchi wake yoyote, tuanzie hapo kwanza.
Kama viongozi wote wa Afrika wanaua wananchi wao, hiyo ni sababu zaidi ya kukemea kiongozi yeyote wa Afrika anayeua wananchi wake, akiwamo Gaddafi.
Two wrongs do not make a right.
Magufuli akitaka kukuua wewe leo kwa sababu Kagame kaua Wanyarwanda utafurahi na kukubali na kusema hakuna kiongozi wa Afrika ambaye hajaua wananchi wake?
Sasa una hakika gani Gaddafi mazuri yake yamefunika mabaya yake?Ok, sikumaanisha mauaji yanakubalika ninachomaanisha mimi hamna kiongozi aliye perfect na haitakuja kutokea. Hivyo basi kiongozi bora lazma mazuri yake yafunike mabaya yake thats the logic. Kama kuna kiongozi aliye perfect naomba unitajie labda mimi siifahamu dunia vizuri
huyo.mzee alikuwa ni mhesabuji wa maiti au alikuwa doktori?Mzee moja anasimulia na BBC wakaweka audio/sauti ya mauaji hayo ya askari wetu. Historia ni somo muhimu sana jamani
Wewe Mtanzania?
VIJANA WA BRIGADIER HIMID ....lakini hawakufika idadi hiyo ??wengi walikimbilia Bukoba mjini kuliko waliokufaHabari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha wanajeshi 2000 mstari wa mbele na chote kilifyekwa na majeshi ya Amin.
Baada ya hapo jeshi letu lilijipanga upya na kusonga mbele hadi Kampala na Jinja ambapo Idd Amin alitimkia Libya na baadae Saudi Arabia.
Hii historia sijiwahi kuisikia, nilijua tulipigana bila upinzani mkali na hatukupoteza askari wengi kiasi hiki kwa mpigo mmoja.
Msimuliaji pia anadai jeshi la Uganda lilikuwa limegawanyika sana kwani baadhi hawakumtaka Amin aendelee kuongoza Uganda na hivyo kulisaidia jeshi letu lililojipanga upya kushinda vita hivyo.
Viva JWTZ.
Uongo uongo uongozi[emoji12]Habari kwenu jukwaani.

Hiyo simulizi haina ukweri wowote,Kwa kipindi kile 1979 kama Tanzania ingepoteza asikari 2000 ndo ingekuwa mwanzo wa kushindwa vita,naiman miaka hiyo JWTZ ilikuwa na asikari wachache sana,japo hata Jeshi la mgambo lilishiriki katika Ops hiyoHabari kwenu jukwaani.
Kuna simuluzi BBC Radio wanatujuza historia iliyofichwa. Mwanzoni mwa vita vya Kagera ni kuwa baada ya Amini kufanya uvamizi wake, Tanzania ilitanguliza kikosi cha wanajeshi 2000 mstari wa mbele na chote kilifyekwa na majeshi ya Amin.
Baada ya hapo jeshi letu lilijipanga upya na kusonga mbele hadi Kampala na Jinja ambapo Idd Amin alitimkia Libya na baadae Saudi Arabia.
Hii historia sijiwahi kuisikia, nilijua tulipigana bila upinzani mkali na hatukupoteza askari wengi kiasi hiki kwa mpigo mmoja.
Msimuliaji pia anadai jeshi la Uganda lilikuwa limegawanyika sana kwani baadhi hawakumtaka Amin aendelee kuongoza Uganda na hivyo kulisaidia jeshi letu lililojipanga upya kushinda vita hivyo.
Viva JWTZ.
hamna unachokijua kwa taaluma yangu ndogo ya JKT watu 2000 ni kama vikosi viwili.heuwezi poteza wanajeshi wote hao kwa mara moja.kama sisi tulipoteza 2000 basi adui ni 10000Habari kwenu jukwaani.