WanaJF tunaomuunga mkono Lissu sasa ni muda muafaka wa kumsaidia Lissu ashinde!

Uchafu anao Gwajima wewe weka data hapa tuone kama jf hairuhusu tuma PM.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Huyo aliye nae msafi?

Signature yangu
 
Yaani tuandamane kwa ajili ya mtu anayeishi ubeligiji [emoji3][emoji3]

Tena ameshakata tiketi ya kurudi ubeligiji

Familia yake ameificha, mimi nikavunjwe mguu kwa kumpigania mtu aliyeshindwa Uchaguzi anatoa matusi
Hayakuhusu wanaambiwa wenye akili timamu wewe kakate mauno huko kwenye fiesta zenu
 
If imeumizwa Sana na serikali ya awamu ya tano
Ref.... Kesi za mkurugenzi wa jf Mero
 
Usaliti wa lissu umevuka mstari mwekundu hastahili tena kuitwa Mtanzania

Pia Tanzania hatutaki ushoga,
Hivi wewe robot naona unajibu comments zote hivihivi weka ushahidi acha kumsingizia kipenzi chetu rais mtarajiwa. Anaependa watanzania wote sio yule mpenda wanawake weupe tu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Yan tangu Jana machozi yananitoka, naamini Tundu Lissu anashinda sasa je watamtangaza?
Yan sijui matokeo yakitoka nitakuwa katika hali gani jamani Naomba mniombee
Unalia machozi kwa nadharia ambazo hazitakaa kutokea ni upotevu wa machozi
 
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania

Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Hivi wewe robot naona unajibu comments zote hivihivi weka ushahidi acha kumsingizia kipenzi chetu rais mtarajiwa. Anaependa watanzania wote sio yule mpenda wanawake weupe tu.

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Polee sana certified kilaza usiyeweza kuthibitisha usaliti wa Lissu
 
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Polee sana certified kilaza usiyeweza kuthibitisha usaliti wa Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…