WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

Mwambie pia arogeee pale kariakoo kuna kila uchafu.
 
Nenda moshi uza mitumba mkuu chukua pale maimoriaas peleka masokoni ukisikia leo soko la...nenda
tafuta mdada mzuri anaetongozeka utakuja nishukuru mnasaidiana kuuza
 
hiyo pesa ingia mkoani tena ndani ndani ufanye biashara utanishukuru
 
Twende zetu China tukatafute machimbo ya bidhaa kijana wangu
 
Hiyo pesa atafute miji midogo inayokuja kwa kasi itamfaa sana,mfano miji kama Katoro- Geita,ushirombo,ifakara etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…