WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia β€œreply” za mwanzoni ? No critical thinking

Jirani mi nalog in nikiwa bar mwenzio ndiomana natype ninachojisikia na sipo kumfanya mwingine ajisikie vile yy anataka kusikia 🀣🀣🀣🀣
Sema kwenye kuku umeua, ulijuaje km napenda kwiyoo πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Jirani unakunywa?. πŸ˜… Mie sinywi lkn kilevi changu nikiuangalia mpira na kupiga masikio ya chiniπŸ˜…πŸ˜….

Jirani kama unapenda kwio tukutane Kwa Kuku. Au nikuletee zawadi upike Pasaka,nafuga kuku Tanga, saivi wamefika 1400, kwahio nikuletee 2 upike Pasaka.

Jirani lkn ukipika lazima unialike Tena tuwale wote.πŸ˜…πŸ˜…
 
Ulijuaje?
 
Km kuku anatoka tanga jirani basi ahsante 🀣🀣🀣
 
Km kuku anatoka tanga jirani basi ahsante 🀣🀣🀣
Huyo ni wapasaka, lkn kama kawaida jirani kijiwe chetu Kiko pale pale pemben ya SAMAKI-SAMKI MLIMANI CITY.

Au tukale ftari ya Hyatt πŸ˜…, lkn pale ftari ni elfu 80 tu Kwa mtu mmoja, unakula ftari Yako ukimaliza waaondoka. Lkn Kwa wewe mkinga sijui , unaweza kuomba hio elfu 80 ununue viazi upike mwenyewe.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Pesa sio ya kuchezea hiyo 80 hapana aiseee!! 🀣🀣🀣🀣
 
huku ni mazuzu ukiandika kunya ndo wengi wanajaaa!! watu milion 63 wenye akili ao watatu wa mwishoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


Jiunge na QUORA Utaona tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…