Lifewithmuhasu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 231
- 438
Ajabu ni kuwa hata watu wazima wana act kama watoto wadogoWatu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo,
Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo?
Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za mwanzoni ni zile za dini, simba na yanga au ccm na chadema. Nadhani hizi zinakua rahisi kwakua tayari zimeshawagawa watu katika makundi.
Mwengine anaweza asitilie manani mada au jambo kwa kuangalia “first replies”
Unaweza kuta hata hii maya hapa itachangiwa kwa kuangalia reply za mwanzoni zimeandika nini.
This is sick culture. Engage your senses.
Tubadilike kwa faida ya jamii na hadhi mtandao wetu
Mtu Ana comment kwa lengo la kupata sifa hajui kama kuna muda Ana umiza hisia za mtoa mada husika.