Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.
-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.
Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.
Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...