Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Tayari mmeshamhabribia DC na RC wa Lushoto.
 
Njia pekee ya kuwa ondoa pale mboga mboga ni kuleta jeshi ya Wagner Pmc tofauti na hapo hakuna namna wataondoka pale hata kura ziwe na uwazi kiasi gani na washindwe kwa uwazi kabisa bado wataendelea kung'ang'ania bomba, wanajua wapinzani wakishika kijiti watafia jela, askari ndio hawataki kusikia upinzani kabisa kwa sababu wao na mboga mboga lao moja
Hehehe
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Na Bado
 
Mipango ya kupanga ujinga ndio hii sasa, watu wanachapisha makadi wanawapa watu, wanawapanga, ujinga sasa ndio huu....!
"CAN'T DEMORALISES OUR LIVES TO CCM."
Kwamba mwenyekiti wa kijiji anatumia ladi feki au?
Upofu wako ni wa hali ya juu na ninadhani wewe Dunia Tanzania unayoiishi ni tofauti na hii tunayoioshi sisi.
Hujui hali halisi ya kinachoendelea kwa sasa.
Deep world itageuka na kuwa Deep- CCM!
Muda ni shahidi mzuri sana.
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Safi saaana,huko mkoani Tanga ndiyo ngome ya CCM ndiyo maana wamehongwa mawaziri kibao ambao hawana msaada wowote kwa maendeleo ya mkoa huo. Wasambaa hawa wamenifurahisha sana.
 
Kwamba mwenyekiti wa kijiji anatumia ladi feki au?
Upofu wako ni wa hali ya juu na ninadhani wewe Dunia Tanzania unayoiishi ni tofauti na hii tunayoioshi sisi.
Hujui hali halisi ya kinachoendelea kwa sasa.
Deep world itageuka na kuwa Deep- CCM!
Muda ni shahidi mzuri sana.
Hehee tz ina watu na viatu. Huyo dogo ana shida kubwa sana
 
CCM ilishachokwa miaka mingi sana, ni vile tu hakuna vyama au chama mbadala kilicho serious...
 
Back
Top Bottom