Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,987
- 1,757
NGoja tuone mkuu wa wilaya,mwenyekiti wa council,mkurugenzi mtendaji, etc bila kumsahau WEO na VEO's wakitinduliwa ! Hili tukio sio la kitoto wajahmenKatika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.
-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.
Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.
Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...