Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

Mipango ya kupanga ujinga ndio hii sasa, watu wanachapisha makadi wanawapa watu, wanawapanga, ujinga sasa ndio huu....!
"CAN'T DEMORALISES OUR LIVES TO CCM."
Wewe ndiyo mpumbavu kabisa unaona hadi uongozi wote wa kijiji umejiuzulu na kurudisha kadi unafikiri mchezo. Na ITV walikuwepo lakini wametishwa wasiirushe. Salama yenu ni wizi wa kura tu lakini u uchaguzi huru na haki CCM hamna chenu. Hivi n Samia kuwafukuza kazi yule DC na DAS wake kule Mtwara halo pia lilikuwa igizo?
 
Attachments

  • IMG-20200726-WA0000.jpg
    IMG-20200726-WA0000.jpg
    39.7 KB · Views: 2
Hata mkirudisha kadi na kupiga kura kwingine, CCM ndio inaenda kuunda serikali baada ya uchaguzi wa 2025
CCM ilikufa baada ya kifo cha shujaa wetu yanayofanyika sasa hivi ni usaniii.wizi na rushwa ni kubwa haijawahi tokea.wananchi wa chini wameachwa na hawana wa kuwasemea.bunge ndo hilo apo.CCM kila siku ni kufanya mauzinduzi na matamasha sijui kizimkazi.....hospitalini hakuna dawa,umaskini wa wananchi unatisha zimebaki siasa za majukwaani lkn wananchi hawahudumiwi.wananchi wamebaki kwenda kwenye mikutano ya mwamposa kubeti ndo lililopo
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Kazi ipo, nimeshangaa UVCCM wanasema hili ni igizo la chama pinzani 🤣
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Watanzania washatokwa na iman miaka ming san that's inabid itumike kila mbinu ili kuendelea kuwepo madarakani!! Usione shujaa alikua mjinga uchaguzi wa 2020 bali alisoma alama za nyakat kua chama chake hakina influence tena hivyo ni kuweka amri namtaka huyu namtaka yule!!!!
 
Unamaanisha uchaguzi wa 2020 ulikuwa na udanganyifu mwingi?

-Kaveli-
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Yaani Hawa wananchi wa lushoto nimewapenda Sana. Natamani nchi nzima huu uelewa na akili tuwe nazo. Asanteni Sana wananchi kwa kurudisha kadi za matapeli
 
Unamaanisha uchaguzi wa 2020 ulikuwa na udanganyifu mwingi?

-Kaveli-
Ule haukuwa uchaguzi bali ujambazi wa kwenye sanduku la kura.Polisi waliovalia uniform walibeba mabegi ya kura za wizi na kuyaingiza kwenye vituo vya uchaguzi ndiyo maana waliweka ile sheria yao ya kishenzi ya mita 200 ili watekeleze ujambazi wao. Bila wizi wa kura CCM haiwezi kushinda popote
IMG-20200726-WA0000.jpg
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Ni mkakati wa chichiemi kufanya hivyo na kuwatupia lawama ma DC , ili kuulinda uongozi wa juu
 
Katika hali iliyotabiriwa, na inayotabiriwa kuelekea 2025, wananchi wa Lushoto warudisha kadi za chama kwa madai ya kutoridhika na utendaji kazi wa viongozi wa wilaya na vijiji.

-----
Hali hii naomba chama kianze kuidhibiti mapema kwa kufanya kazi mara mbili zaidi kuelekea uchaguzi mkuu.

Hali ni mbaya sana tusipokuwa makini, mambo yanaweza haribika kabisa tusipate wa kumlaumu.

Na ugumu zaidi unaletwa na madalali(cartels) waliotamalaki kila kona...

Dah!Mzee anasaga kunguni Balaa!🤣🤣🤣🤣
 
Haya maigizo sio mageni na mpaka leo tupo palepale nyakati zote ni kulalama tu.
 
Mkuu umesahau hayo mambo yalianzia Mtwara mpaka Mama akatumbua wateule wake. Sasa unataka kusema Mama ni mjinga mpaka akiri kuwa ni kweli wanaCCM wanarudisha kadi kwa sababu ya utendaji mbovu wa serikali yake?
Na sasa hivi kanuni ndiyo hiyo,hatumtaki DC au RC tunairudisha kadi kumtoa Bibi Mchele pangoni Ili atengue mtu!
 
Back
Top Bottom