Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

Tayari mmeshamhabribia DC na RC wa Lushoto.
 
Hehehe
 
Na Bado
 
Mipango ya kupanga ujinga ndio hii sasa, watu wanachapisha makadi wanawapa watu, wanawapanga, ujinga sasa ndio huu....!
"CAN'T DEMORALISES OUR LIVES TO CCM."
Kwamba mwenyekiti wa kijiji anatumia ladi feki au?
Upofu wako ni wa hali ya juu na ninadhani wewe Dunia Tanzania unayoiishi ni tofauti na hii tunayoioshi sisi.
Hujui hali halisi ya kinachoendelea kwa sasa.
Deep world itageuka na kuwa Deep- CCM!
Muda ni shahidi mzuri sana.
 
Safi saaana,huko mkoani Tanga ndiyo ngome ya CCM ndiyo maana wamehongwa mawaziri kibao ambao hawana msaada wowote kwa maendeleo ya mkoa huo. Wasambaa hawa wamenifurahisha sana.
 
Hehee tz ina watu na viatu. Huyo dogo ana shida kubwa sana
 
CCM ilishachokwa miaka mingi sana, ni vile tu hakuna vyama au chama mbadala kilicho serious...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…