Wananchi Lushoto warudisha kadi za CCM kukosa imani na viongozi, Tazama video

NGoja tuone mkuu wa wilaya,mwenyekiti wa council,mkurugenzi mtendaji, etc bila kumsahau WEO na VEO's wakitinduliwa ! Hili tukio sio la kitoto wajahmen
 
Kumekucha hata jogoo asipowika
 

Usiwaamini sana Wasambaa na watu wa Mkoa wa Tanga kwa ujumla.
 
Mipango ya kupanga ujinga ndio hii sasa, watu wanachapisha makadi wanawapa watu, wanawapanga, ujinga sasa ndio huu....!
"CAN'T DEMORALISES OUR LOVES TO CCM."
Haaa haa just haaa haaa mmekwama. Wanafukuzwa Wakuu wa wilaya kwa kwa ujinga sio mtasema tu. Muda ni mwamuzi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
Mipango ya kupanga ujinga ndio hii sasa, watu wanachapisha makadi wanawapa watu, wanawapanga, ujinga sasa ndio huu....!
"CAN'T DEMORALISES OUR LOVES TO CCM."
Haa haa just haa haa, Samia anafukuza wakuu wa wilaya kadi kurudishwa. Wewe unakenua kenua tu hapa kama HAYAWANI. Tatizo lenu MaCCM wote akili zenu hazina akili. Na hili lakutegea kuiba chaguzi kwa kutumia polisi, limewafanya mnapuyanga sana.
 
Mkuu wa wilaya ambaye hatekelezi wajibu wake ipasavyo atafukuzwa tu, sikiliza kilio Chao, hao wananchi, wanafuatilia suala lao kwa ngazi husika mtatuzi hatoi maamuzi / anazungusha zungusha haifai CCM.
 
Hii ni aibu kubwa sana kwa CCM. Baada ya kuuza nchi kwa warabu, wananchi nao wameanza kurudisha kadi za fisiemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…