Sijafungwa na siasa mi ni mfuasi wa maendeleo ya kweli sio mfuasi wa chama cha siasa, hakuna chama ninachokikubali hata kimojaUtakuwa unasapoti ujinga[emoji84] wa Lumumba
Asante Kwa hii umeandika naangalia Humu watu wanamwaga Povu kusema hawatakubali...Mfano mzuri Bunge liko gizani watu wanalalama gizani hakuna kilichobadilika.... hapa watu wamsihi MUNGU atuondolee KIKOMBE hiki.. BASI hayo mengine yakwamba hatutakubali ni maneno yakujazia Thread...inatakiwa tujiulize tanguNadhan wananchi unao waongelea sio watanzania , hakuna taifa lenye wananchi wajinga na wapumbavu na wenye kiherehere na kujipendekeza pamoja na unafiki kama tanzania , hii ni nchi yenye giza nene kuanzia wananchi hadi serikali yao.
Hii kitu inanipa mashaka...hatari kweli kweliKuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell
As I said before Venezuela in the making. Kwanza tupitishe katiba mpyaKuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell
Plus salary slip hajaonyeshamagufuli ni mchumia tumbo km walivoccm wote....ameshindwa na ama amedanganya kila alichowahi kusimamia
1. Samaki wa magufuli alishindwa na kuliinhizia taifa hasara kubwa
2. Lugumi hiyo yeye yumo na imemshinda hawezi kujichukulia hatua
3. Kivuko kibovu alileta yeye wala hajajikamata na kujishitaki
4. BASHITE tu amemshinda sembuse Marais waliopita ambao alishasalimu amri hadi kuteua mke wa rais kuwa mbunge
5. Hajaweka mezani mkataba wa chatointernational airport???!!
6. Yeye binafsi hajaweka wazi mkataba wa bormberdier watz wanajua dili alizofanya yeye binafsi....
7. Hajaonesha hata nukta ya uzalendo kwa yale ambayo yeye binafsi ameshinikiza na kupazimishwa yafanyike.
8. Watz mtachezeshwa sn shere na ccm hukumnawalaumu wazungu na wachina kwa kiwaibia wkt wezi wenu ni ccmmnaowachekea
Kuna watu wanaweza kubeza hali inayoendelea na kuichukulia poa! Maigizo mnayoyaona ya wanancho katika mikoa mbalimbali eti wanaandamana kudai Rais aongoze miaka mia .............. siyo kwa bahati mbaya!
natabiri kitakachofuata ni Muswada Wa mabadiliko kupelekwa bungeni ili kubadilisha vifungu vya katiba vitakavyompa Fursa Rais Wa sasa kuongezewa muda
time will tell
Hii Nchi sio ya kimapinduz..Most likely we are heading to Kagame, Mugabe and Museveni's cases.
Time will tell
Hahahaa..Anawatisha wastaafu kwa kashfa zao as zamani na kuunda tuvikundi twa mazezeta kuandamana
Kuwa aongezewe muda.Sijui wastaafu wameogopa?tutaona.ONly time will tell.
Sio yeye peke yake, tupo wengi tunaona miaka kumi haitamtosha.Wewe peke yako ndo unamhitaji atawale milele..
hata akibadili katiba kuna kifo hataweza kukikwepa milele
Tunaongelea Urais na sio mambo za mwenyekiti. Hii tupakule mwenyekiti hata wa mtaa yupoKama atapeleka muswada bungeni au kuitisha kura ya maoni haina shida kuna mwenyekiti wa chama aliondoa ukomo wa uenyekiti kwenye katiba ya chama chake kinyemela tu na watu wakakenua tu shida iko wapi.
Yote haya yanawezekana sababu mbadala wa CCM ni nyoronyoro.