Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kila MTU anaona anachokitaka, wewe hata ukisema hapo unawaona Wana CCM Tu wakiwa wamevalia uniform za Polisi ni Sawa kabisa. Kila mtu ana ubongo wake ila wenzetu nyie wachache mmeamua kutumia makalio kufikiriaNinachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Weng wao sio raia wa Tanzania wamefoji vitambulisho vya uraia wanatoka Kenya wakibanwa wanakuwa deported kenyaMwanza Kuna wanaume ww
Sio km wa dar ,pumbavu zenu
Ht lisu mlifanya songea ila mikoa km hii msingethibutu
KabisaaAngalau Angalau,tutafika tu
😂😂😂 Kweli kabisa maana chawa SS hata hakuna wanalo onaKila MTU anaona anachokitaka, wewe hata ukisema hapo unawaona Wana CCM Tu wakiwa wamevalia uniform za Polisi ni Sawa kabisa. Kila mtu ana ubongo wake ila wenzetu nyie wachache mmeamua kutumia makalio kufikiria
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali wanafanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala, chawaccm na wenzao wenye Akili za hovyo sanaKila MTU anaona anachokitaka, wewe hata ukisema hapo unawaona Wana CCM Tu wakiwa wamevalia uniform za Polisi ni Sawa kabisa. Kila mtu ana ubongo wake ila wenzetu nyie wachache mmeamua kutumia makalio kufikiria
G55 wamekula pesa za ccm bure kabsa, Mbowe kawageuza ccm viinua mgongo anakula pesa zao kama mvua na hawashituki😂😂😂 Kweli kabisa maana chawa SS hata hakuna wanalo ona
Asante Mungu wangu nimekosa ban!Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Wameigeuza chadema daraja la kujipatia sifa na vyeo haramuAskari wa nchi hii hawana Akili!!
Walikuwepo madikiteta hatari Duniani akina Bokasa, Magu, Chiluba, mabutu, iddy Amin Dada, Elibashiri, Sadam Hussein, makaburu wa Africa kusini leo hii wapo wapi ? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni AibuKila jambo lina mwisho.
KAZI ni kipimo cha utu
Uzalendo ni pamoja na kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi,kibiashara, kiusafirishaji bila kizuizi cha wanasiasa barabara zinakuwa wazi ,biashara hazifungwi,wala shughuli za kijamii kusimama na kwa amani bila bughudha ndio kazi ya Jeshi iwe polisi au JWTZ wa Tanzania tofauti na Kenya polisi wa Kenya hawajielewiAsante Mungu wangu nimekosa ban!
Hapo ndio mwisho wako wa kufikiria...Uzalendo ni neno pana sana.Uzalendo umebaki JWTZ tu ...
Huo ndiyo ujinga upumbavu uliojaa ccm, sasa ccm wanaanza kutengeneza mazingira haramu ya kishetani kuwasingizia watu kuwa wametoka kenya ili wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi haramu za kishetani, ccm imejaa watu wa ajabu na hovyo sana, badala ya kuwaza maendeleo mnakaa kuwaza Uovu, uonevu, manyanyaso kwa watanzaniaWeng wao sio raia wa Tanzania wamefoji vitambulisho vya uraia wanatoka Kenya wakibanwa wanakuwa deported kenya
Watulie wasione watanzania wajinga kuwapa vitambulisho vya NIDA wasimwamshe Mtanzania aliyelala akiamka watalala wao
Wamepata vitambulisho vya NIDA watulie wakae mbali na siasa au any post ya public hakuna mtu atawasumbua wataishi generations bila kusumbuliwa
Waachane na siasa za Tanzania uzuri wanajua kabisa wana ndugu zao kenya .Mguu mmoja mwanza mguu mwingine kenya
😂😂Na huruma pesa hiyo kupata Tena sijui Bora wangezitunza maana yajayo yqnafurahishaG55 wamekula pesa za ccm bure kabsa, Mbowe kawageuza ccm viinua mgongo anakula pesa zao kama mvua na hawashituki
Polisiccm hawafanyi kazi kwa mjibu wa sheria bali hufanya kazi kwa mjibu wa Amri haramu za kishetani toka kwa makala na chawaccmUzalendo ni pamoja na kuhakikisha wananchi wanaendelea na shughuli zao za kiuchumi,kibiashara, kiusafirishaji bila kizuizi cha wanasiasa barabara zinakuwa wazi ,biashara hazifungwi,wala shughuli za kijamii kusimama na kwa amani bila bughudha ndio kazi ya Jeshi iwe polisi au JWTZ wa Tanzania tofauti na Kenya polisi wa Kenya hawajielewi
Yaliyotokea Ghana, Zambia, Senegal yanakuja TanzaniaChadema ni mpango wa Mungu
Huko Dar wengi hushinda Bar kupiga umbea hawajali matendo haramu ya kishetani toka kwa PolisiccmWanaume wako mwanza
Dar hebu subirini kwanza😂
Ni kweli maana wivu uliowapata ccm leo kwa hilo nyomi ni bora wamkamate tu. Na hapo Lisu hakuwepo, sipati picha angekuwepo ingekuwaje. Ogopa chama lina nyomi la hatari, na halishiriki uchaguzi wa kuhanithi. Waombeni vile vyama 17 vibaraka nao waitishe nyomi la hivyo bila kuhonga tuone nyomi lao.Nawapongeza polisi kama wameshindwa kumchukua wakambebe usiku akiwa amelala