Bwahaaaa bwahaaaa, naona unaitisha ile nguvu yenu inayowapaga kura. Hilo ndio nyomi la kweli sasa. Sio lile nyomi la vitisho na watoto wa shule. Yaani naona umeumia vibaya. Jishangazi la kizenji leo haliwezi kulala😂😂😂Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Kiss 💋 your azzNawapongeza polisi kama wameshindwa kumchukua wakambebe usiku akiwa amelala
Barabara yenyewe Karne ya 21=nyembamba hivi,aibu hii mpak liniNinachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Hizo hizo mtu chakeBarabara yenyewe Karne ya 21=nyembamba hivi,aibu hii mpak lini
Bado hujasema hadi useme. Hili nyomi naona limekukata ngebe unajiliza tu. Ukiona ccm wanategemea vyombo vya dola sio bure bali ni huu mziki. Na hatuko mbali na mabadiliko ya kweli. Mabadiliko yakifika yamefika.Ni hivi NRNE fullstop.Mwambieni Heche Tanzania sio kenya kwa wajaluo wenzie
Polisi kenya waneajiri wasomi lakini wasiojielewa
Ndio maana Gen Z walivamia na kuteka barabara, maduka kufungwa,Jengo la bunge kuvamiwa na wabunge kukimbuzwa kama vibaka na Gen z wakaenda bungeni wakalila hadi kiti cha Spika na kupora rungu la spika na kuliuza kama chuma chakavu na wakachoma jengo la mahakama ya rufaa huku hao polisi wao wasomi wakiwa wamekaa tu kama mabwege bila kuchukua hatua yeyote
Mwambieni Heche Tanzania kuna division zero wanaojielewa kuliko hao polisi wasomi wa Kenya when it comes kulinda usalama wa serikali ,bunge,mahakama na raia na mali zao na kuhakikisha shughuli za kibiashara, kiuchumi na kijamii zinaendelea un interrupted
We as Tanzanzians we a proud of our division zero police force na wataendelea kuajiriwa
Wewe uelewe pia uelewe hilo bwege wewe
Kumbe na wewe unamtambua, huyu dogo hajitambui sana tu.Wewe ni kijana wa hovyo na huwa mara zote unakwepa hoja
Unachokiona ww na akili zako zilizojaa moshiNinachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Viongozi wanapofunga barabara ili wakazindue matundu ya vyoo mbona hujilizi, au haya maumivu ya hili nyomi yamekuvuruga? Ulidhani zile press zitawapotezea watu focus? Wachaga wanawalia hela za bure, mbinu za kizee haziwezi kuiua cdm. Tena msiombe wafuasi wa cdm wakapafa akili ya kushika silaha, mtajuta kwanini mlichelewa kukubali mabadiliko.Hizo hizo mtu chake
Polisi wa Tanzania ni wendawazimu wa Samia!Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Sehemu yoyote yenye mwingiliano wa watu hutokea hayo kwasababu. Mbona ya ccm hayasemwi? Subirini mfanye mikutano yenu.Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
Aiseee division sifuriMwambieni Heche Tanzania sio kenya kwa wajaluo wenzie
Polisi kenya waneajiri wasomi lakini wasiojielewa
Ndio maana Gen Z walivamia na kuteka barabara, maduka kufungwa,Jengo la bunge kuvamiwa na wabunge kukimbuzwa kama vibaka na Gen z wakaenda bungeni wakalila hadi kiti cha Spika na kupora rungu la spika na kuliuza kama chuma chakavu na wakachoma jengo la mahakama ya rufaa huku hao polisi wao wasomi wakiwa wamekaa tu kama mabwege bila kuchukua hatua yeyote
Mwambieni Heche Tanzania kuna division zero wanaojielewa kuliko hao polisi wasomi wa Kenya when it comes kulinda usalama wa serikali ,bunge,mahakama na raia na mali zao na kuhakikisha shughuli za kibiashara, kiuchumi na kijamii zinaendelea un interrupted
We as Tanzanzians we a proud of our division zero police force na wataendelea kuajiriwa
Wewe uelewe pia uelewe hilo bwege wewe
Uchawaa kazii balaaaWeng wao sio raia wa Tanzania wamefoji vitambulisho vya uraia wanatoka Kenya wakibanwa wanakuwa deported kenya
Watulie wasione watanzania wajinga kuwapa vitambulisho vya NIDA wasimwamshe Mtanzania aliyelala akiamka watalala wao
Wamepata vitambulisho vya NIDA watulie wakae mbali na siasa au any post ya public hakuna mtu atawasumbua wataishi generations bila kusumbuliwa
Waachane na siasa za Tanzania uzuri wanajua kabisa wana ndugu zao kenya .Mguu mmoja mwanza mguu mwingine kenya
Kwa video hii, ifikie mahali viongozi wakuu wa vyombo vya dola; IGP, DGIS,na CDF wamshauri rais Samia kufanya mchakato wa katiba mpya.Hawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Siasa safi za kutekana na kuuana?.JF mods rekebisheni kichwa cha habari hakifai.
Siasa hizi za kudogodesha watu mimi sizipendi.
Tufanye siasa safi wananchi wataelewa tu.
Yangu ni hayo tu.
CCM tukiwa tunaandamana kupongeza viongozi wetu huwa hatuzuii watumiaji wengine wa barabara?Ninachokiona hapo ni wana CHADEMA kufunga barabara kuzuia watu wengine wasiendelee na shughuli zao za kibiashara na uchumi
Naona bodaboda na bajaj wenye abiria wanahangaika wapite wapi
Wana CHADEMA wameteka barabara
Polisi kuweni wakali tafadhali
Hapo Polisi mumekuwa wapole mno hamjawatendea haki watumiaji wengine wa barabara wanaoitumia kwa shughuli za kiuchumi,kibiashara ,kusafiri na wagonjwa nk
Hapo palitakiwa mvurumushe mabomu barabara ifunguke upesi na kutembeza virungu vya uhakika kwa walioteka barabara
lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akiliHawa watu vipi Hawa ? Mbona kama vichwan mwao wamejaza matope ? Hiki kizazi kilichopo Ndani ya Jeshi la Polisi mbona wanaujinga mwingi ?
Eehhh Wakuuu, hivi kabisa Hawa watu wako sawa vichwani ?
YAAN WAO WANAAMINI KUMKAMATA HECHE MBELE YA WATU NI KUWAOGOPESHA HAO WATU?.
inamaana hata Mikutano ya CHADEMA, haiwapi picha ya kua WANANCHI WANAHITAJI MABADILIKO??.
Yan kama walivyomkamata LISSU, mbinu ileile ndio walitaka kumkamata Heche ??.
Baada ya chadema kushika nchi hii, ni lazima jeshi la polisi lifumuliwe , lina vilaza wengi sana, hawa watu vyuoni wanafundishwa matumizi ya nguvu sana kuliko akili
Wao waliomba kibali cha maandamano au mkutano wa hadhara?CCM tukiwa tunaandamana kupongeza viongozi wetu huwa hatuzuii watumiaji wengine wa barabara?