Wananchi wa Mbeya wana utofauti mkubwa sana na Watanzania wengine

Wangemkamatia Mbeya au Songwe kingenuka vibaya mno. Wale Waisa sio watu wa mchezo mchezo.
Nyanda za juu kusini wasingethubutu
Iringa,mbeya,songwe
Ht Arusha,Mwanza sidhani....
Maana iringa mikutano yao iliongozana
Ccm ilikuwa jmos ,cdm jpil
Ila jmn 🙌 ilikuwa balaa Ile jpil Nina uhakika walifanya tathimini wakatuma ripot kuwa cdm noma ndo maana wakafanya yao.

But too late sshv ht std 7 wanaimba No reform....
 
Huko Nawakubali sana. Hamnaga upuuzi na nzi wa kijani.
 
Kama umeshafika mbeya huwezi kushangaa….
 
Nimesema Leo
Kuwa jmn mbeya wapewe maua yao.
Dar hamna kitu

Ht lisu alipokuka mbeya, iringa hawakuthubutu kumkamata mpk alipofika songea
Nina uhakika ingekuwa kwanza wasingethubutu pia
Walikata umeme mkoa mzima
Asubuhi hadi jioni.
Kweli watu wamechanganyikiwa😂
Sasa umeme unazuia mkutano??
Wakatufanya hadi tusio kuwa na habari, tupate habari kwamba Lissu anakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…